Jamani shemeji mchepuko ananiwazisha

MLALUKO JR

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2015
Posts
962
Reaction score
309
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 22, pia nipo chuo kikuu mwaka wa kwanza. Kuna dada ya shemeji yangu ambaye ameolewa ila katika kukua kwetu yaani utotoni wakati tulipokuwa shule ya msingi tulikuwa na uhusiano bt sikuwahi kuzini.

Lakini wakati nilipomaliza kidato cha sita kwa hali isiyokuwa ya kawaida tulipoweza kuzini kwa siku ya kwanza na siku iliyofuata alikuja tena na tukazini tena, kwangu ilikuwa mara ya kwanza kumjua mwanamke na kufanya mapenzi.

Kitu kinachoniumiza mpka leo ni kwamba binti huyo ni mke wa mtu pia ameshazaa mara mbili, nataka nimtafute mme wake nimuombe msamaha ili niwe huru kifikra na moyo unaniuma sana! Nifanyeje?

But yeye huyo mwanamke nilimwacha siku nyingi.
 
Ndugu, hii siyo thread ya complaints congrats na advice.Mwombe Invisible aihamishie panapofaa!
 
Last edited by a moderator:
Dogo achaaa huoo mchezo.N wala usijisumbue kumwambia huyo mume labda kama una hamu ya kuliwa kiboga:becky:
 
We kijana ni hatari...
Cjawahi ona mtu kama wewe.
Kwan unashndwa kupotezea mpaka ukishaharibu ndo ya watu ndo utarudhika?????
Acha hizo kaka.
 
Sasa umuombe msamaha kwa lipi haswa?

Kuna watu huwa mpo slow sana kufikiri...
 
Hahaha, kama dhamira yako inakutuma, nenda lakini jiandae kwa lolote baada ya ungamo hilo. Kama sio sasa basi baadaye.
 
Umtafute mumewe halafu muewe kwa hasira akikuvunja kiuno?
au kwa hasira akimuacha mkewe utajisikiaje?

Hebu acha utoto......
maisha ni kutazama mbele...kurudi rudi nyuma utagongwa bila kutarajia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…