Kibada? Hilo litakuwa ndani ya mpango wa kigamboni NEW CITY unless liwe surveyed already - Tupe details mkubwa. Na ninavyojua mimi tayari kumeshafanyika zoezi la utambuzi kwa watu wote wenye nyumba, mashamba na vibanda waliomo ndani ya mradi huu - kila kata majina yameshabandikwa tayari. naomba mwongozo.