Mkuu
Kaizer tatizo mafundi wengi wa Mtaani wanajua Kugonga nyundo, kubadili filter na kusafisha, Magari mengi ya kisasa yanatumia Umeme na Electronic nyingi kuliko Mechanics issues, Ni vizuri ukaenda kwa Mafundi ambao wanaweza kufanya diagnosis, wanaweza kutafrisi troube codes zinatolewa na Computer. Unaweza kukuta ni Filter flani imepata uchafu au imejaa Carbon kwa hiyo transmission inakuwa siyo nzuri. D-4 engine zina nguvu sana na kwa kweli zinahimili Mazingira mengi. Tatizo si D-4 engine bali mafundi wetu ni Zero Brain. Peleka gari yako Toyota au kwa Mchina pale Kijitonyama (Kelvin). Unaweza kukuta ni EGR valve au anything imejaa carbon