Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Login | |
Password | |
Mkuu mtazamaji hiyo kaalamoto.com nimeweka kama mfano tu actually website yenyewe haina jina hilo mkuu wangu.
Host wangu wa website ni Jamiimedia mkuu wangu. je wanaweza kunisaidia wao?
Natumia window xp mkuu. Lakini hata hivyo matumaini yanaweza kuwa madogo maana nimekumbuka kuwa nilishawahi ku format computer yangu! Sijui nifanyeje!
Nitajaribu kuwasiliana nao. ThanksKama ni jamiimedia wasiliana na admin wa jamii media sio tatizo kubwa
Hiyo hasa ndio nimesahaunafikiri ukiweza ingia cpanel unaweza badilisha.. au mahost hawana cpanel? au pass ya cpanel pia umeisahau?