pole sana bi Safina, kweli hata kama mumeo anakupa kila kitu haisaidii na ili furaha iongezeke lazima uwe na raha ya unyumba. Mimi nakushauri achana na hiyo kusema mila zinawazuia, dunia tuliyo nayo kwa sasa ni nyingine, mkalishe mmeo chini umwambie, hakuna msaada mwingine zaidi ya huo na hongera kwa kuwa mvumilivu hukutoka nje ya ndoa, VUNJA UKIMYA
mimi kwa kweli mila za kipuuzi hizi nazipiga chini hata bil akuulizia. Hii ni haki ya msingi kwa mwanandoa, iweje bibie uteseke kwa miezi yote hiyo kwa kutopata 'conjugal rights zako??
plz plz hebu vunja huo ukimya zungumza na mumeo. vinginevyo utajikuta unafanya uamuzi mbaya sana kwa sababu kila kitu kina mipaka. kuna siku huo uvumilivu utakushinda ukaingia majaribu ya kutafuta pa kupoozea
mimi kwa kweli mila za kipuuzi hizi nazipiga chini hata bil akuulizia. Hii ni haki ya msingi kwa mwanandoa, iweje bibie uteseke kwa miezi yote hiyo kwa kutopata 'conjugal rights zako??
plz plz hebu vunja huo ukimya zungumza na mumeo. vinginevyo utajikuta unafanya uamuzi mbaya sana kwa sababu kila kitu kina mipaka. kuna siku huo uvumilivu utakushinda ukaingia majaribu ya kutafuta pa kupoozea
Hebu wadada wanzangu mlioolewa naombeni mnisaidie, hata wakaka pia nanyi mnawafanyia wake zenu haya au inakuwaje jamani. Yaani muda huu ninapoaandika thread hii niko total confused maana nina kama miezi 8 sijapata mambo.
Wanajamii wenzangu tafadhali naombeni mlichukulie hili suala kwa uzito unaostahili
B nakubaliana nawe kabisa kwamba mila nyingine zimepitwa na wakati. Hata haya mambo mke haruhusiwi kumuomba unyumba mumewe ni ya kizamani na hayastahili kabisa kuwepo katika dunia ya leo. Yaani mke anakata mwaka bila kuguswa na mumewe! na akimshamgusa hiyo mara moja baada ya mwaka anaweza kukata miezi sita au hata zaidi kabla ya kumgusa tena!!!! hiki ni kitu cha kushangaza sana, labda jamaa ana matatizo ya kiafya lakini hiki si kitu cha kawaida hata kidogo.
am afraid so.....
tendo la ndo ani muhimu sana na kukosekana kwake ni sababu tosha ya mmoja wa wanandoa kudai talaka na mahakama ikampatia.
kama hivo unapewa kila kitu lakini hilo moja tu limakunyima amani ndani ya nyumba. ni kwa sababu ni la muhimu zaidi na ni haki yenu (ndo maana likaitwa tendo la ndoa)
huyu dada nampa hongera sana kwa kuwa mvumilivu kwa kiasi hiki, ila cha msingi ndo kuyazungumza sasa ili walijue tatizo na kulitatua
safina, samahani naomba nikupe ushauri mmoja kabla sijaenda mbali; ukitaka fair advice, omba ushauri kwanza kwa wanaume kuhusu mambo ya mikasi!!... soma kitabu kimoja kinaitwa think like a lady, act like a man cha steve harvery. huyu bwana ana statement moja aliyoiweka which is very important --- anasema tatizo kubwa la wanawake ni kutaka ushauri wa matatizo ya ndoa kutoka kwa wanawake,,,, wanawake wote wote wanakua side moja.
hayo ya kusema kabila letu eti hatuombi kile kitu, huo pia ni uchemfu na siajabu ndicho kinachoboa huyo mwanaume...kumbuka wanawake anaokutana nao mtaani si wa kabila lenu therefore you should get out of the shell and be a wife and a life partner and not mke -kabila. learn what he likes, be what he dream of a womna
.... badilika, na muanze upya... communicate more, enjoy more and share more
kuwa aggressive, maana wanasema ushikwapo, shikamana
acha excuses bana we mshauri tu, una uhakika gani wote tulomshauri hapa ni wadada na tumeolewa???😛ound: ningekushauri lakini umeamua kuomba ushauri kwa wadada wenzako walioolewa nami ni mwanaume. nakuombea ili mungu akupe haja ya moyo wako kupitia kwa mr wako na si vinginevyo! kila la heri safina!
mama weee!!! umenikumbusha dar sophy, ni kasheshe aiseehamna kibatani nimeshindwa kugonga....akikutana na wakina Da Sophy huyo basi tena litakuwa janga lingine!!
mama weee!!! umenikumbusha dar sophy, ni kasheshe aisee
dada inabidi afunge mkanda na pia kama jamaa jogoo kagoma kuwika, aende kununua himoyang aisee kile kitu ni muhimu