pole sana, ila mi nikutoa wasisi kuwa hlo sio tatizo kubwa, na hvyo haliwezi kukuzuia kwenda chuo. Kwanza kwanini hukufuatilia mchakato huo toka mwaka jana? Ukitazama Tanzania Commision for Universities(TCU) Guidebook, inasema kigezo kikubwa ni kupata angalau Principles 2(hii itategemea na chuo husika) yaani E and above katika yale masomo matatu ya comb yako. Hawajazungumzia mambo ya GS. Kukuthibitishia hlo, mimi nilipata tatizo kama lako na sasa nipo chuo.