Jamani nisaidien.

Kunguru Mweusi

New Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
4
Reaction score
0
Je? kuna uwezekano ukaikopi window na ukaiweka kwenye flash na ukatumia kuboost computer kama vile ukiboost kwa kutumia CD?
 
naona haiwekani ila ngoja kama kuna wajuzi zaidi waje watupe shule
 
inawezekana na uki-google utapata tricks kibao kulingana na os unayotaka kufanya hivyo
 
Mkuu Kunguru mweusi hilo linawezekana sana tu kwa sababu mi cd room ya computer yangu imekufa na huwa natumia usb flash kufanya installation ya os yoyote
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…