Jamani nimfanyeje huyu dada


duh hii kali kuliko, mtoa mada fanya fasta! !!!
 
sijui alitaka watu wajue na yeye kuna mwanamke anamganda au vipi maana ni jambo dogo sana kulisolve

yeah ni jambo easy mno kuliatatua. hapo kwenye red, hahahaa hizo swagga mbona ni very 'old-fashioned'. Anyway, labda kweli yuko puzzled na hii issue, may be hana 'experience'... refer to my signature captioned apo chini. lol
 
Sasa shida yake ni nini kama ni msaada mpe wala isiwe shida coz kuishi na mtu mwenye mtoto tena alikuacha itakuumiza sana kila ukiwa nae na huyo fiance wako mueleze vzr mana nashkuru wadada ni waelewa

NB: usije ukamuumiza huyo dada aliyekupoza majeraha ya kuachwa
 
Mwambie tu ukweli, maji yakishamwagika hayazoleki.

Wewe upo na mtu wako mwingine na hautokuwa tayari kurudiana nae sababu haitowezekana kurudiana.

Na mchane tu asikuletee gozi gozi
 
Hii nadhani si mbaya...Hata mimi watu wote wanajua kuwa nina UKIMWI na nijlitangaza hivyo baada ya mwanamke kutaka kuvuruga uchumba wangu( Kwa hiyo nilimuhusisha mchumba wangu..Nikapima na kufuta mahali pa NEGATIVI na kuandika POSITIVE na kubandika NOTICEBOARD ya kazini kwetu)....Baadae mimi na mchumba wangu tukaoana ndoa takatifu..Tuna watoto na maisha yanaendelea vizuri....Tunajisikia "safe" zaidi kuliko hata hapo awali..Maana watu wengi wadhani ndivyo sivyo, hivyo usumbufu ni ZERO.. Kwangu na kwa mke wangu pia... Yaani ni raha tu!
Hahahaaa.. Ngoja aje akutangaze mtaa mzima ujue ulijiunga kwenye grid ya taifa...utachokaa..
 

Kusanya ushaidi wote wa sms, kisha mwalike aje nyumbani kupata lunch na girl friend wako akiwapo, then baada ya lunch mpasulie makavu mbele ya mkeo mtarajiwa, na umpige marufuku kukupigia au kukutext.
 
Ningekushauri chakufanya kama usingetumia neno demu kwa mtu ambaye upo nae hv sasa hujanyesha heshima kwa hlo alafu mtu ambaye huna mpango nae unaweka heshima kwake na kumwita dada,hii inaletapicha kuwa unamuogopa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…