Jamani Nimeweza kushindaaaaaaa!

Nyuki baby

Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
85
Reaction score
8
5years nimekuwa teja wa hii ki2 iitwayo punyeto a.k.a puchu,kupiga mawe n.k na kila nilipokuwa najaribu kuaacha nilikuwa nashidwa lkn day1 baada ya kupiga nilijickia vibaya na nikawaza kweli hii ki2 imeshaingia akilini mwangu! Nikasema 'NO' nikapiga magoti nakumuomba mungu aniepushe na hili janga! Nikawa kila ikinijia hali ya kutaka kufanya nikawa namuomba god aniepushe! Ss nina miezi4 sijagusa hii ki2! je? Wana JF hii ni dalili ya god kanickia ombi langu au ni vp?
 
daymmmmnnnnnnnn! i like jei efu, kuna kila aina ya spicies!
 
Endelea kuomba...na kusoma neno!!!
 
Kwa hiyo unafanya nini kuburudika baada ya kuacha 'puchu'?
 
B52, amekuuliza wewe ni HE or SHE?
Unajua kwa nini kakuuliza ?
Sababu Id yako imekaa kimiondoko ya kidemu, then maudhui ya Sredi ya kiume!
Hapa tabu kuchangia !
Muangalie vilee, nanihii kama Kongosho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…