Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,926
- 29,264
Mbona kunamashaka, wewe umezikwapua sehemu sasa unakuja na uongo wa kitoto kuwa "ukachungulia chini ya kiti"! Au uliona mkia wa nyoka! Usitulazimishe tuwe mashahidi wako.Heshima zenu Wakuu! Nawaletea habari ya kweli, kweli kabisa, maana mimi nauchukia uongo kama ukoma! Nimeokota mapesa. Sasa usiniulize ni dola ngapi, usije ukashawishika kunifuata uninyang’anye!
Wewe jua tu nimeokota mapesa kama wana wa Israeli walivyookota “mana” jangwani. Mimi nafanya kazi kwa bidii ili kujipatia kipato.
Hata hivyo, pamoja na kufanya kazi ninamtegemea Mungu kila wakati, kwakuwa najua unaweza kufanya biashara usipate wateja/pesa. Unaweza kuajiriwa ukafukuzwa kazi.
Unaweza kupata pesa zikaibiwa zote! Hivyo ni muhimu kumtegemea Mungu. Kwa kufanya hivyo nimeona Mungu akinifanikisha na kunitendea miujiza mingi.
Haya, turudi kwenye mada. Ilikuwa hivi: Kuna watu watatu walikuja ofisini kwangu wiki iliyopita, kwa wakati tofauti na siku tofauti. Wote ninawafahamu na huwa ninawasiliana nao.
Niliwahudumia wakaondoka. Jana mchana, niliingia ofisini kwangu, nikachungulia chini ya viti vya wageni. Kwa mshangao mkubwa nikaona mapesa! Mimi ni mwaminifu sana kwa habari ya pesa.
Nikija dukani kwako ukinizidishia chenji nakurudishia. Nikasema moyoni mwangu haya mapesa nadhani ni wale jamaa waliokuja ofisini kwangu wameyadondosha. Siwezi kuyatumia.
Nikawapigia simu na kuwauliza kama waliona upungufu wa pesa kwenye mifuko yao baada ya kuondoka. Wote wakakataa na kunipa kibali cha kuyatumia hayo mapesa.
Jamani Mungu ni Mkuu sana! Nawasikitikia wanaosema eti Mungu hayupo. Wanakosa baraka nyingi.
Tangu nimwamini Yesu, nimeona miujiza mingi ya kupita kawaida.
Hata huo ni muujiza. Nilikuwa na shida ya pesa, nikamuomba Mungu, amenipa mapesaaa! Stay blessed!
Alisema yanayomhusu. Na mimi nasema yanayonihusu. Kwakuwa Yesu alisema Yeye ni Mchungaji wa kweli, unataka na mimi nijiite hivyo?Yesu alishawahi kusema yeye ni mwaminifu
Wezi hawataingia mbinguni(1 Kor 6:10). Dhambi ya kuiba/kukwapua niliiacha siku nyingi baada ya kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wangu. Halafu Mkuu, wanaokwapua huwa wanatangaza ukwapuaji wao mitandaoni? Give it a second thought.Mbona kunamashaka, wewe umezikwapua sehemu sasa unakuja na uongo wa kitoto kuwa "ukachungulia chini ya kiti"! Au uliona mkia wa nyoka! Usitulazimishe tuwe mashahidi wako.
Unataka kujisafisha eti umeokoka na mwaminifu, pesa imedodokea chini ya kiti huku haukuwahi kumuona mtu akiingia na huo mfuko!Wezi hawataingia mbinguni(1 Kor 6:10). Dhambi ya kuiba/kukwapua niliiacha siku nyingi baada ya kumpokea Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wangu. Halafu Mkuu, wanaokwapua huwa wanatangaza ukwapuaji wao mitandaoni? Give it a second thought.
Mimi naongozwa na sheria ya KristoKatika sheria ya Uislamu, mali ya kuokota, ikiwa ina thamani kubwa basi inabidi uitangaze kwa muda wa mwaka mmoja.
Baada ya hapo ikiwa hajapatikana mwenyenayo ndio inakuwa halali yako, unaweza kuitumia.
kwa masikitiko makubwa naona bado mpaka sasa bado hujatoa sadaka ya shukrani madhabahuni naona maneno matupu ya kushukuru mitandaoni,Heshima zenu Wakuu! Nawaletea habari ya kweli, kweli kabisa, maana mimi nauchukia uongo kama ukoma! Nimeokota mapesa. Sasa usiniulize ni dola ngapi, usije ukashawishika kunifuata uninyang’anye!
Wewe jua tu nimeokota mapesa kama wana wa Israeli walivyookota “mana” jangwani. Mimi nafanya kazi kwa bidii ili kujipatia kipato.
Hata hivyo, pamoja na kufanya kazi ninamtegemea Mungu kila wakati, kwakuwa najua unaweza kufanya biashara usipate wateja/pesa. Unaweza kuajiriwa ukafukuzwa kazi.
Unaweza kupata pesa zikaibiwa zote! Hivyo ni muhimu kumtegemea Mungu. Kwa kufanya hivyo nimeona Mungu akinifanikisha na kunitendea miujiza mingi.
Haya, turudi kwenye mada. Ilikuwa hivi: Kuna watu watatu walikuja ofisini kwangu wiki iliyopita, kwa wakati tofauti na siku tofauti. Wote ninawafahamu na huwa ninawasiliana nao.
Niliwahudumia wakaondoka. Jana mchana, niliingia ofisini kwangu, nikachungulia chini ya viti vya wageni. Kwa mshangao mkubwa nikaona mapesa! Mimi ni mwaminifu sana kwa habari ya pesa.
Nikija dukani kwako ukinizidishia chenji nakurudishia. Nikasema moyoni mwangu haya mapesa nadhani ni wale jamaa waliokuja ofisini kwangu wameyadondosha. Siwezi kuyatumia.
Nikawapigia simu na kuwauliza kama waliona upungufu wa pesa kwenye mifuko yao baada ya kuondoka. Wote wakakataa na kunipa kibali cha kuyatumia hayo mapesa.
Jamani Mungu ni Mkuu sana! Nawasikitikia wanaosema eti Mungu hayupo. Wanakosa baraka nyingi.
Tangu nimwamini Yesu, nimeona miujiza mingi ya kupita kawaida.
Hata huo ni muujiza. Nilikuwa na shida ya pesa, nikamuomba Mungu, amenipa mapesaaa! Stay blessed!
Piga nazo picha then Uzi Post hapa ndani..Heshima zenu Wakuu! Nawaletea habari ya kweli, kweli kabisa, maana mimi nauchukia uongo kama ukoma! Nimeokota mapesa. Sasa usiniulize ni dola ngapi, usije ukashawishika kunifuata uninyang’anye!
Wewe jua tu nimeokota mapesa kama wana wa Israeli walivyookota “mana” jangwani. Mimi nafanya kazi kwa bidii ili kujipatia kipato.
Hata hivyo, pamoja na kufanya kazi ninamtegemea Mungu kila wakati, kwakuwa najua unaweza kufanya biashara usipate wateja/pesa. Unaweza kuajiriwa ukafukuzwa kazi.
Unaweza kupata pesa zikaibiwa zote! Hivyo ni muhimu kumtegemea Mungu. Kwa kufanya hivyo nimeona Mungu akinifanikisha na kunitendea miujiza mingi.
Haya, turudi kwenye mada. Ilikuwa hivi: Kuna watu watatu walikuja ofisini kwangu wiki iliyopita, kwa wakati tofauti na siku tofauti. Wote ninawafahamu na huwa ninawasiliana nao.
Niliwahudumia wakaondoka. Jana mchana, niliingia ofisini kwangu, nikachungulia chini ya viti vya wageni. Kwa mshangao mkubwa nikaona mapesa! Mimi ni mwaminifu sana kwa habari ya pesa.
Nikija dukani kwako ukinizidishia chenji nakurudishia. Nikasema moyoni mwangu haya mapesa nadhani ni wale jamaa waliokuja ofisini kwangu wameyadondosha. Siwezi kuyatumia.
Nikawapigia simu na kuwauliza kama waliona upungufu wa pesa kwenye mifuko yao baada ya kuondoka. Wote wakakataa na kunipa kibali cha kuyatumia hayo mapesa.
Jamani Mungu ni Mkuu sana! Nawasikitikia wanaosema eti Mungu hayupo. Wanakosa baraka nyingi.
Tangu nimwamini Yesu, nimeona miujiza mingi ya kupita kawaida.
Hata huo ni muujiza. Nilikuwa na shida ya pesa, nikamuomba Mungu, amenipa mapesaaa! Stay blessed!
Sheria ya kristo inasemaje?Mimi naongozwa na sheria ya Kristo
ili aende robo fainali CAFCLKahonge
Mkuu, usihangaike na DNA. DNA test results can sometimes be misleading due to errors, contamination, or limitations in interpretation. One famous example is the case of Lydia Fairchild in the early 2000s. She was accused of fraud when a DNA test claimed she was not the biological mother of her own children. Later, it was discovered that she had chimerism—a rare condition where a person has two different sets of DNA due to absorbing a twin in the womb. Ukitaka kupata ukweli, muombe Mungu. Yeye anajua yote, anaona kila mahali. Na aliniona wakati naokota hayo mapesa. Haleluya!Unataka kujisafisha eti umeokoka na mwaminifu, pesa imedodokea chini ya kiti huku haukuwahi kumuona mtu akiingia na huo mfuko!
Ukiletwa kwangu utataja tu ulikotoka nazo, hata DNA itatumika kutoa ukweli.
Hivi nikipooza bia kabla ya kuinywa kuna shida gani?Heshima zenu Wakuu! Nawaletea habari ya kweli, kweli kabisa, maana mimi nauchukia uongo kama ukoma! Nimeokota mapesa. Sasa usiniulize ni dola ngapi, usije ukashawishika kunifuata uninyang’anye!
Wewe jua tu nimeokota mapesa kama wana wa Israeli walivyookota “mana” jangwani. Mimi nafanya kazi kwa bidii ili kujipatia kipato.
Hata hivyo, pamoja na kufanya kazi ninamtegemea Mungu kila wakati, kwakuwa najua unaweza kufanya biashara usipate wateja/pesa. Unaweza kuajiriwa ukafukuzwa kazi.
Unaweza kupata pesa zikaibiwa zote! Hivyo ni muhimu kumtegemea Mungu. Kwa kufanya hivyo nimeona Mungu akinifanikisha na kunitendea miujiza mingi.
Haya, turudi kwenye mada. Ilikuwa hivi: Kuna watu watatu walikuja ofisini kwangu wiki iliyopita, kwa wakati tofauti na siku tofauti. Wote ninawafahamu na huwa ninawasiliana nao.
Niliwahudumia wakaondoka. Jana mchana, niliingia ofisini kwangu, nikachungulia chini ya viti vya wageni. Kwa mshangao mkubwa nikaona mapesa! Mimi ni mwaminifu sana kwa habari ya pesa.
Nikija dukani kwako ukinizidishia chenji nakurudishia. Nikasema moyoni mwangu haya mapesa nadhani ni wale jamaa waliokuja ofisini kwangu wameyadondosha. Siwezi kuyatumia.
Nikawapigia simu na kuwauliza kama waliona upungufu wa pesa kwenye mifuko yao baada ya kuondoka. Wote wakakataa na kunipa kibali cha kuyatumia hayo mapesa.
Jamani Mungu ni Mkuu sana! Nawasikitikia wanaosema eti Mungu hayupo. Wanakosa baraka nyingi.
Tangu nimwamini Yesu, nimeona miujiza mingi ya kupita kawaida.
Hata huo ni muujiza. Nilikuwa na shida ya pesa, nikamuomba Mungu, amenipa mapesaaa! Stay blessed!
Peleka hayo mapesa yote kwa Mwamposa ukampe sadakaHeshima zenu Wakuu! Nawaletea habari ya kweli, kweli kabisa, maana mimi nauchukia uongo kama ukoma! Nimeokota mapesa. Sasa usiniulize ni dola ngapi, usije ukashawishika kunifuata uninyang’anye!
Wewe jua tu nimeokota mapesa kama wana wa Israeli walivyookota “mana” jangwani. Mimi nafanya kazi kwa bidii ili kujipatia kipato.
Hata hivyo, pamoja na kufanya kazi ninamtegemea Mungu kila wakati, kwakuwa najua unaweza kufanya biashara usipate wateja/pesa. Unaweza kuajiriwa ukafukuzwa kazi.
Unaweza kupata pesa zikaibiwa zote! Hivyo ni muhimu kumtegemea Mungu. Kwa kufanya hivyo nimeona Mungu akinifanikisha na kunitendea miujiza mingi.
Haya, turudi kwenye mada. Ilikuwa hivi: Kuna watu watatu walikuja ofisini kwangu wiki iliyopita, kwa wakati tofauti na siku tofauti. Wote ninawafahamu na huwa ninawasiliana nao.
Niliwahudumia wakaondoka. Jana mchana, niliingia ofisini kwangu, nikachungulia chini ya viti vya wageni. Kwa mshangao mkubwa nikaona mapesa! Mimi ni mwaminifu sana kwa habari ya pesa.
Nikija dukani kwako ukinizidishia chenji nakurudishia. Nikasema moyoni mwangu haya mapesa nadhani ni wale jamaa waliokuja ofisini kwangu wameyadondosha. Siwezi kuyatumia.
Nikawapigia simu na kuwauliza kama waliona upungufu wa pesa kwenye mifuko yao baada ya kuondoka. Wote wakakataa na kunipa kibali cha kuyatumia hayo mapesa.
Jamani Mungu ni Mkuu sana! Nawasikitikia wanaosema eti Mungu hayupo. Wanakosa baraka nyingi.
Tangu nimwamini Yesu, nimeona miujiza mingi ya kupita kawaida.
Hata huo ni muujiza. Nilikuwa na shida ya pesa, nikamuomba Mungu, amenipa mapesaaa! Stay blessed!
Wanaochukua kimya kimya ni wezi na wanyang'anyi. Mimi sio mwizi, ndio maana niliwapigia simu wageni wangu. Wangesema ni wao walidondosha, ningewapa mapesa yao. Hapa natangaza kuwatia moyo wanaomuomba Mungu pesa, wasikate tamaa. Mungu anaweza kuwapa 💰💲Watu wanachukuwa kimya kimya wewe unatangaza? Mungu kakuonea huruma kwa kuwa hujui kuwa maisha ni mchezo.