heb waje wanaomfahamu!!!!!Asante kaka Kongosho kwa ushauri wako mzuri. Mndumi Ruwa akuikanie.
Nipo naendelea kupokea shauri zenu na nitafurahi kama mtanishauri.
Nimefikia hatua ya kuhamua kutokwenda nyumbani kwa kuwa mama mkali sana. Niko peke yangu kwenye familia maana baba alifariki akiwa kijana wa miaka 26 huku akiniacha mtoto pekee na at that time i was just 3 years old. Kwa maana hiyo mama anadai nioe ili apate mjukuu.
heb waje wanaomfahamu!!!!!
Asante kaka Kongosho
tobaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kaka kongosho.....
Wana Jukwaa,
Mimi ndugu yenu napenda kuchukua muda na fursa hii kuwaombeni msaada wa mawazo/ushauri.
Mimi ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 22 na bado sijahamua kuingia kwenye ulimwengu wa malavidavi rasmi.
Kuna mambo mawili yanayo nitatiza na kunisononesha.
Kwanza: Mama amekuwa mkali akitaka nioe na eti ni lazima nioe kabla ya mwisho wa mwaka. Hili limekuwa gumu ikizingatiwa kwamba ndiyo kwanza niko katika hatua za awali za elimu ya juu.
Pili: Kuna mtoto wa shangazi yake baba amekuwa akinisumbua sana; huku akisema ananipenda sana na angependa tuwe wapenzi, wachumba na baadae wapenzi. Niko mbali naye na anataka asafiri japo akae na mimi wiki moja kisha arudi.
Mambo hayo tajwa yamenifanya kuwa na mawazo sana.
Naombeni ushauri jamani.
Tumia hii mbinu,
Wakati naanza chuo baba alinitaka nioe....
Sikutaka kabisa hii ki2.
Tena nilitafutiwa mke kijijin, kabint kabichi, darasa la saba. Mzee alisema nioe tu naweza kukaacha!!!!
Nikacheza hivi, nilitafuta dem wa chuo tena wa kabila letu, nikaenda nae hom kumtambulisha kama mchumba.... Mzeee akafarijika!!!!! Kurudi tu nikamtemaaaa....
Huyo dem anayekusumbua, tafuta dem wa chuo then aongee nae akisema wew ni mtu wake..... Hatakusumbua tena!!!!!
Haya, apology accepted. Kaka King'asti anauliza: wewe mchaga wa wapi? Manake saa hizi hata wakwere wanahimiza watoto wao wasome wakawe mapresident nyie mnahimizana kujaza dunia na mnaona kuna scarce resources?
BT, mbona unashangaa?