Juzi nimelalamika hapa kuhusu wakulima kukopwa mazao kwa lazima wakati
Fedha za kuwalipa zipo. Tushamueleza kuwa Mkuchika anayezuia watu kuuza
mazao yao cash wanashirikiana na kuna faida inaenda kwake.
Leo nina hasira sana kwani nimekula wali mkavu bila mboga, ninadai kule
kwenye chama cha ushirika Tsh 18,500,000.
Hivi nini hasa kifanyike ili kikwete achukue maamuzi na ajue kuwa anatutesa?
Hivi kwanini serikali inakopa kwa nguvu halafu haitoi malipo kwa RIBA wakati sisi
tukikopa kwenye taasisi zao ni lazima tulipe RIBA!
Jamani nisaidieni tumfanye nini huyu Kikwete maana hasikii kabisa vilio vya wanyonge!
naomba ufafanue hapo kwenye rangi nyekundu. wapi,lini,na kwa jinsi gani ulimfikishia kikwete tuhuma hizo na akakupuuza? na ikiwezekana naomba utujuzu tuhuma hizo kwa kirefu ili na tujuuwe uwozo wa CCM kupitia Chiligati
Juzi nimelalamika hapa kuhusu wakulima kukopwa mazao kwa lazima wakati
Fedha za kuwalipa zipo. Tushamueleza kuwa Mkuchika anayezuia watu kuuza
mazao yao cash wanashirikiana na kuna faida inaenda kwake.
Leo nina hasira sana kwani nimekula wali mkavu bila mboga, ninadai kule
kwenye chama cha ushirika Tsh 18,500,000.
Hivi nini hasa kifanyike ili kikwete achukue maamuzi na ajue kuwa anatutesa?
Hivi kwanini serikali inakopa kwa nguvu halafu haitoi malipo kwa RIBA wakati sisi
tukikopa kwenye taasisi zao ni lazima tulipe RIBA!
Jamani nisaidieni tumfanye nini huyu Kikwete maana hasikii kabisa vilio vya wanyonge!
pole mkuu GAZETI! Hata mimi najiuliza kifanyike nini, halafu utakuta watu wanakuja na kusema ati tuna rais msikivu...
Mkuu nashukuru sana kwa msaada wako maana ni wewe peke yako
ndo naona unatupigania hapa jukwaani. Kweli tunaumia hata mimi ninadai
4,356,000 Umetimia mwezi mmoja na siku kumi sasa sijalipwa chochote
na hata wakileta hizo fedha wanaleta za watu watatu zinaisha halafu wanakaa
mwezi tena. Yaani ni hatari.
Duh, kaka Punguza hasira kwani we huna ndugu kule mpakaMi naomba Mungu waangukiwe na lile jengo lao kule CHIMWAGA liwafunike
wote ili tuanze upya! Yaani nitafurahi hiyo siku.
Mi naomba Mungu waangukiwe na lile jengo lao kule CHIMWAGA liwafunike

Duh, kaka Punguza hasira kwani we huna ndugu kule mpaka
unatamani Jengo liwafunike?
Duh una balaa wewe mpaka umenitoa mafichoni, Mungu anasema samehe saba mara sabini usiombe dua mbaya kiasi hicho labda tuombe tu waondoke madarakani kwa amani.
Juzi nimelalamika hapa kuhusu wakulima kukopwa mazao kwa lazima wakati
Fedha za kuwalipa zipo. Tushamueleza kuwa Mkuchika anayezuia watu kuuza
mazao yao cash wanashirikiana na kuna faida inaenda kwake.
Leo nina hasira sana kwani nimekula wali mkavu bila mboga, ninadai kule
kwenye chama cha ushirika Tsh 18,500,000.
Hivi nini hasa kifanyike ili kikwete achukue maamuzi na ajue kuwa anatutesa?
Hivi kwanini serikali inakopa kwa nguvu halafu haitoi malipo kwa RIBA wakati sisi
tukikopa kwenye taasisi zao ni lazima tulipe RIBA!
Jamani nisaidieni tumfanye nini huyu Kikwete maana hasikii kabisa vilio vya wanyonge!
Mi naomba Mungu waangukiwe na lile jengo lao kule CHIMWAGA liwafunike
wote ili tuanze upya! Yaani nitafurahi hiyo siku.
Dah poleni, mi nakusudia siku ya mkutano mkuu wa CCM maanaJengo la CHIMWAGA, sasa hivi kuna lecture inaendelea kwa wanafunzi wa UDOM
kwani jengo hili kwa sasa ni la Chuo Kikuu cha Dodoma.
Mkuu unamaanisha liwaangukie hawa wanafunzi au?
Dah poleni, mi nakusudia siku ya mkutano mkuu wa CCM maana
wote wanakusanyika hapo. kama siku hiyo kutakuwa na hao nafunzi
na mkutano unaendelea basi angalau liwafunike kule waliko wao tu wanafunzi
wakishaondoka ndo lianguke lote!
Ok nimekuelewa hukohuko KIZOTA ndo kuzuri maana wako peke yaoSiku hizi wanafanyia Kizota na kwingine.
Chimwaga hawafanyii tena.
mkulu hawezi kusikiliza malalamiko yenu kwa sasa kwa sababu yuko bize anajiandaa na uhamisho wake.