What do you mean hujawahi ku-date nae na mmesha panga kuoana?hi jf, mm nmepata mschana karibuni ni mwezi mmoja now 2mepanga kuoana akimaliza chuo mwakani bt cjawahi kudate nae hata cku moja, lakni anapenda xana kuniomba pesa na salio na hata ha2jazoeana xana, je wadau kwa dalili hizi ni wife Material au searching some money? ushauri plz !!
hi jf, mm nmepata mschana karibuni ni mwezi mmoja now 2mepanga kuoana akimaliza chuo mwakani
hi jf, mm nmepata mschana karibuni ni mwezi mmoja now 2mepanga kuoana akimaliza chuo mwakani bt cjawahi kudate nae hata cku moja, lakni anapenda xana kuniomba pesa na salio na hata ha2jazoeana xana, je wadau kwa dalili hizi ni wife Material au searching some money? ushauri plz !!

he he he he he he he he napita tu.......
hi jf, mm nmepata mschana karibuni ni mwezi mmoja now 2mepanga kuoana akimaliza chuo mwakani bt cjawahi kudate nae hata cku moja, lakni anapenda xana kuniomba pesa na salio na hata ha2jazoeana xana, je wadau kwa dalili hizi ni wife Material au searching some money? ushauri plz !!
Naomba unijibu haya maswali yafuatayo kisha utafuata ushauri: Mlionana wapi, mipango ya kuoana ilianzaje, jee ninani anamfadhili katika masomo yake???it z bt kufikia mwakani ntakua muda wa kutosha kureliase tabia yake
Sawa nimekupata, kama unampenda, umeridhika nae, basi wewe msaidie tu kwa kadiri unavyoweza huku ukimtaka awe mvimilivu na maisha ya shule wala asiishi maisha ya anasa huko shule.mathcom alikuja likizo kwa dada ake, 2kawa as friend 2, then last month ndo akanitamkia mwenyewe anapenda xana 2we wachumba, later nkamjibu ndio, be sponsered by HESLB
Mimi ntaongezea hapo kiduchu ni sio mpaka aache kisigino tu bali ahakikishe miguu inalamba kisogo she isnt wyf material:A S thumbs_down:Hawa madem wa UDOM wengi wao mbona ombaomba sana?? balaa gani hili la watoto wa Lowassa..any way kama amepitiliza kuomba nakushauri PIGA CHINI FASTA!! Kimbiaaaa mpaka uache kisigino njiani oohoooo!!!
Sawa nimekupata, kama unampenda, umeridhika nae, basi wewe msaidie tu kwa kadiri unavyoweza huku ukimtaka awe mvimilivu na maisha ya shule wala asiishi maisha ya anasa huko shule.
Maisha ya UDOM ni magumu, na mazingira yamezungukwa na ngono, bora umpe support ndogo ndogo asije akashawishika na mazingira, bahati nzuri tu mwakani anamaliza..
Ni kweli kumpatia matumizi hakukuweki salama asilimia zote, lakini kuna tofauti kubwa kwa anaepewa matumizi na asiepewa. yule unaempa akikusaliti hana utetezi lakini usiempa anaweza kuchukua hiyo kama loop hall, kibaya zaidi hutajua kama umesalitiwa au vipi..Kama ni wa kushawishika atashawishika, either umempa salio ama humpi!
Na suala la kumpa mpenzi wako matumizi eti ili asikusakiti hilo ondoa,mpe unachompa kwa kuwa umejisikia kumpa, sio lazima uwe na sababu kubwa sana ili umpe mpenzi wako kitu chochote anachoomba!