Jamani Natafuta Shule ya SECONDARY (PRIVATE) Manispaa ya MOROGORO.

Nswima John Edward

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
612
Reaction score
312
Wanajamvi mm ni Mwalimu Wa sekondari, Naweza kufundisha both ORDINARY and ADVANCED LEVEL BIOLOGY AND CHEMISTRY...Mwenye details zozote za shule yeyote ya private Manispaa ya Morogoro, anitumie postal address, phone number or email ya shule yeyote ya Morogoro....pls nisaidieni wadau.

Inform me through...0787 062208 or my email address....joenva1983@gmail.com
 
Bwana Nsimwa umeshakuwa usiku mwingi,kwa mchepuo wako nadhani utapata shule tu! Tuombe uzima kunako majaaliwa kesho nitacomfirm na mkuu mmoja aliyekuwa na uhitaji kama nafasi bado ipo nitawaunganisha!
 
nenda alphagerms ndo wanalipa vizuri kwa mzungu peku peku
 
Jarbu kwenda bily host sec, maeneo ya bigwa kule

Kaka nipe contact addresses za hiyo shule ikiwezekana kuanzia postal address na E - mail address nifanye kuomba kazi hapo haraka iwezekanavyo....maisha ya kijiji yamenishinda mkuu, please nisaidie.
 
nenda alphagerms ndo wanalipa vizuri kwa mzungu peku peku

Kaka nisaidie kupata contact addresses za hiyo shule ili niweze kuomba kazi hapo haraka, Please Help me bigman....!!! Ukizipata, kama jf patakuwa mbali, nitumie.....0787 062208
 
Bwana Nsimwa umeshakuwa usiku mwingi,kwa mchepuo wako nadhani utapata shule tu! Tuombe uzima kunako majaaliwa kesho nitacomfirm na mkuu mmoja aliyekuwa na uhitaji kama nafasi bado ipo nitawaunganisha!

Kaka asante sana kwa kuonesha moyo wa kunisaidia...nakuomba uendelee na juhudi za kunisaidia ili ndugu yako nipate kazi hapa Morogoro....Nakutegemea sana kuwa tutawasiliana na tutafanikiwa....WITH THANKS....!!! KAMA JF NI MBALI, KAKA NITAFUTE....0787 062208
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…