Nyumba ninayo. Gari Sina kwa sasa ila uwezo wa kununua ninao. Biashara siyo kubwa sana (ndogondogo) .Taja assets unazomiliki mfano nyumba ,gari mbili na kabiashara afu utaona hzo pm kiasi cha kuwafanyia audition, ukileta bidhaa Sokoni jitahidi uinadi vema ilikuvutia wateja bro.
Unafaa kidogo kwa matumiziNyumba ninayo. Gari Sina kwa sasa ila uwezo wa kununua ninao. Biashara siyo kubwa sana (ndogondogo) .
Ficha cheti cha masters na umri danganyaMasters na umri vimenikosesha mume[emoji22][emoji22]
Ficha cheti cha masters na umri danganya
HayaHahahaha ngoja nisubiri mwingineeee....π
Im under 29, halafu hapo muajiriwa kwa ajili gani? unataka kuniomba helaππππDegree ni kigezo cha kuanzia. Masters and PhD nawapa kipaumbele zaidi. Sema kingine.
Sitaki mtu tegemezi. Mama upo above 26 u can try to apply. Then Mtu kimuomba pesa mume wake au mke wake si kosa. Tena maneno mengine ni vyema mama tukauongea inbox. Asante.Im under 29, halafu hapo muajiriwa kwa ajili gani? unataka kuniomba helaππππ
Kigezo gani kinakukosesha fursa, mkuu?Looh fursa nimekosa hivo