Jamani naombeni ushauri, nataka nikasome account

kalleku

Member
Joined
Sep 7, 2017
Posts
15
Reaction score
7
Nimemaliza kidato cha nne mwaka juzi sasa hivi nataka nikasomee account sijui nifanyeje wapendwa?

Jamani kweli naombeni ushauri masomo ni magumu sana au nikomae hivi hivi tuu
 
Kulikoni ukasome uhasibu ni bora mara elfu ukasome Nursing
 
Nimemaliza kidato cha nne mwaka juzi sasa hivi nataka nikasomee account sijui nifanyeje wapendwa?

Jamani kweli naombeni ushauri masomo ni magumu sana au nikomae hivi hivi tuu
Ukienda kusoma account ukasomee akaunti ya escrow ili tuje kuwashika akina chenge...
 
Back
Top Bottom