Jaribu kunywa maji ya vuguvugu mara kwa mara, hasa asubuhi kabla ya kula kichochote
pia fanya mazoezi ya tumbo.
Usile ukashiba sana, jiwekee ratiba ya kula kidogo kidogo.
Pia kama unatumia pombe na kitimoto/nyama choma acha kabisa.
Acha kula vitu vya mafuta mafuta.
Jitahidi kunywa maji ya vugu vugu kwa wingi na sio baridi sana/ yaloganda ya kwenye friji