J James-stanley New Member Joined Mar 3, 2013 Posts 4 Reaction score 1 Mar 3, 2013 #1 Kama kuna mtu mwenye matokeo ya simba na libolo naomba anipe
Ta Kamugisha JF-Expert Member Joined May 17, 2011 Posts 3,550 Reaction score 2,200 Mar 3, 2013 #2 7 kwa 0
J James-stanley New Member Joined Mar 3, 2013 Posts 4 Reaction score 1 Mar 3, 2013 Thread starter #3 Nani kafungwa?
bemg JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 2,799 Reaction score 644 Mar 3, 2013 #4 Simba kafungwa 4-0 na imetolewa kwa jumla ya Goli 5-0.Aibu sana kwa simba kunahitajika kufumua usajili huu hauna maana kabisa
Simba kafungwa 4-0 na imetolewa kwa jumla ya Goli 5-0.Aibu sana kwa simba kunahitajika kufumua usajili huu hauna maana kabisa
M MKALIKENYA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,196 Reaction score 486 Mar 4, 2013 #5 Ole wenu mngeshinda tu mngekutana na CHIPUMBU UNITED ya nchumbiji.
namanyele JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 1,852 Reaction score 611 Mar 4, 2013 #6 Simba mjamzito alimwagiwa bao 5,alilazwa Angola lakini kuna process zinafanyika kumrudisha Tanzania maana Chipumbu naye anataka amuingilie tena Simba,wameogopa mimba yao itatoka so chipumba kakosa uhondo
Simba mjamzito alimwagiwa bao 5,alilazwa Angola lakini kuna process zinafanyika kumrudisha Tanzania maana Chipumbu naye anataka amuingilie tena Simba,wameogopa mimba yao itatoka so chipumba kakosa uhondo
mtotowamjini JF-Expert Member Joined Apr 23, 2012 Posts 4,525 Reaction score 1,179 Mar 4, 2013 #7 yaani aibu team kubwa ka ile kufungwa na LI BOROOOOO .......:biggrin1: wamenywea hata mtaani washabiki hatuwaoni
yaani aibu team kubwa ka ile kufungwa na LI BOROOOOO .......:biggrin1: wamenywea hata mtaani washabiki hatuwaoni