pole mpenzi kwa kukosa raha na utamu.... sasa we ndo unatakiwa umkumbatie hata kama hataki , mpe kampani hapo alipo kwa hali aliyo nayo ukiwa mbali nae atahisi umeshaanza kucheat ndo maana unakaa mbali...... kuna vyakula vya kuongeza nguvu za kiume jaribu kuviweka kwenye chakula chenu cha kila siku.... wewe ndo uwe unakukuruka huku na kule na yeye atajihisi ana mtu anamjali loh!!!!! sasa yeye hana hisia ataanzaje kukumbatia wewe unayeitaji kula kuwa mchilokozi lo!!!!
huyo mitego aendi ila fanya vitendo mchokozi chezea naniliii ingiza hata kama haitaki kuingia elimradi tu na yeye aone unampenda..... mpe maneno ya kumtia moyo matamu mazuri loh!!!!!
Hafanyi kazi ngumu na huwa ana mudj mwingi sana wa kupumzka mana anaweza akakaa hata wk nzma yuko off haend kazn na akiwa off wala hatok anashnda nyumban tu na wala sio mlevi.
Hafanyi kazi ngumu na huwa ana mudj mwingi sana wa kupumzka mana anaweza akakaa hata wk nzma yuko off haend kazn na akiwa off wala hatok anashnda nyumban tu na wala sio mlevi.
ni sawa lakini na yeye ajishughulishe na yeye ikishindikan ndo aanze kufuatilia nyendo za mumeweKuna haja ya huyo dada kufuatilia nyendo za huyo mume wake
Naanza kuhisi mambo mengine [Mungu aepushe mbali]
Mimi na mume wangu tuna miaka mitatu ktk ndoa tuna mtoto mmoja. Ye ndo mwanaume wangu wa kwanza i mean alinikuta bikra. Mwaka jana alpata tatzo akawa hawez kugegeda nkamvumilia tu hvyo hvyo baada ya muda kama miez tisa hv kdogo nkimuandaa anasimamisha angalau tukawa tunagegeda. Kinachonisumbua sasa hv yan tunaweka kukaa hata mwez hatujafanya mpaka mi nimuanze na wakat mwngne anakutoa sababu oh mara kachoka na hata tukilala tunalala kama kaka na dada yan ckumbatiwi yan nachoka japo ndo hvo kankuta cjui mwanaume mwngne na cna mawazo ya kusaliti mi ninachotaka arud kama zaman manake now mi n kama dada yake nkmulza anambie kamj tatzo linaendelea hasemi, jaman nfanyeje manake namvumilia ye haonyesh ht kujal.
madame utumie pia maombi ,ndoa zina mengi aisee!