mkuu
Joseph ninahakika hayo ni majaribu tu inabidi mzidishe maombi mtashinda,kama mlikua mnasali kabla ya kulala sasa anzisha mchakato wa kulala mapema then amkeni na familia yenu yote kuanzia saa saba msali hata kwa masaa mawili then wewe na mkeo salini mara kwa mara hata mara tatu kwa usiku mzima.naamini hayo ni majarbu ukifanya kwa mfululizo utamjua nani kafanya hvyo ndani ya mwezi.mwambie Mungu sifi mpaka nimeuona utukufu wako,siogopi lolote kwakua najua upo nami wakati wote,fanya muujiza kabla hakujapambazuka....nipe feedback