Jamani naomba nifahamishwe hivi ni kweli kuhusu haya nayoyasikia kuhusu mnyama fisi

Darucha

Member
Dec 28, 2020
76
150
Siyo mwandishi mzuri lakini nafikiri tutaelewana fisi ni moja Kati ya wanyama ambao ni wakorofi Sana siyo porini pekee hata wakiingia mtaani Moto lazima uwake.

Kuna story ambazo nazikia .mara nyingi Sana kuhusu fisi watu wanasema mnyama huyu anajinsia mbili yaani jinsia ya kike na kiume na wanasema hata mimba wenyewe wanapeana kwa kuliana taiming tu.

Yaani mmoja akizubaa anapandwa na mwisho atazaa pili nasikia wanasema mavi yake yakikurukia tu kama mwilini yanatoka na ngozi ni kama yana asidi hivi.

Naomba mikoa ambayo fisi wanapatikana wengi mtoe ushuhuda Je haya yanayozungumzwa ni ya kweli hapa naizungumzia mikoa kama Tabora, Singida, Shinyanga, na kule ambako mkuu wa mkoa aliwataka wananchi waachie fisi warudi maporini baada ya serikali kuona watu wanakwepa kodi kwa kubuni usafiri wao wa fisi karibuni jamani.
 
mikeimani

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
2,924
2,000
Fisi ni noma

1. Fisi jike nanii yake imetokeza (ndefu) kama uume. Lakin nijuavyo Mimi yupo fisi jike Na dume

2. Fisi hula sana mizoga

3. Anapowinda akimkamata mnyama kama swala huanza kumla kabla hata hajamuua. Analiwa hivyo hivyo mpaka ajifie
 
Oswald Daudi Mwakibete

JF-Expert Member
Apr 16, 2018
1,065
2,000
Siyo mwandishi mzuri lakini nafikiri tutaelewana fisi ni moja Kati ya wanyama ambao ni wakorofi Sana siyo porini pekee hata wakiingia mtaani Moto lazima uwake.

Kuna story ambazo nazikia .mara nyingi Sana kuhusu fisi watu wanasema mnyama huyu anajinsia mbili yaani jinsia ya kike na kiume na wanasema hata mimba wenyewe wanapeana kwa kuliana taiming tu.

Yaani mmoja akizubaa anapandwa na mwisho atazaa pili nasikia wanasema mavi yake yakikurukia tu kama mwilini yanatoka na ngozi ni kama yana asidi hivi.

Naomba mikoa ambayo fisi wanapatikana wengi mtoe ushuhuda Je haya yanayozungumzwa ni ya kweli hapa naizungumzia mikoa kama Tabora, Singida, Shinyanga, na kule ambako mkuu wa mkoa aliwataka wananchi waachie fisi warudi maporini baada ya serikali kuona watu wanakwepa kodi kwa kubuni usafiri wao wa fisi karibuni jamani.
Kwa ushauri tembelea mbuga za wanyama,huko utajibiwa vizuri na utawaona hao fisi,halafu uje na mrejesho,lingine swali!
 
Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
6,169
2,000
Nachojua Mimi, fisi ni mmoja ya wanyama waoga, na mpenda mizogo. Kingine ni zile hadithi za sungura na fisi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom