Ticha Senior Member Joined Aug 26, 2007 Posts 135 Reaction score 8 Aug 10, 2012 #1 Nimesikia mara nyingi kuna mikoa hapa Tanzania imeongezeka.Hivi sasa Tanzania ina mikoa Mingapi naomba msaada huo.Ingependeza mngenisaidia Ramani mpya ya Tanzania.
Nimesikia mara nyingi kuna mikoa hapa Tanzania imeongezeka.Hivi sasa Tanzania ina mikoa Mingapi naomba msaada huo.Ingependeza mngenisaidia Ramani mpya ya Tanzania.
Buntungwa JF-Expert Member Joined Oct 29, 2010 Posts 549 Reaction score 310 Aug 10, 2012 #2 eeeeeeeh uuuuuuwiiiii mkuu rramani ni ileile ila wamejiongezea kula matumbo yao yashibe sijaona umuhim wa kuongeza mikoa
eeeeeeeh uuuuuuwiiiii mkuu rramani ni ileile ila wamejiongezea kula matumbo yao yashibe sijaona umuhim wa kuongeza mikoa