Pole sana mkuuNimeoa Nina mke na nina mpenda kila kitu nampa na isitoshe mshahara wangu ukitoka huwa namwambia na tunapanga bajeti yetu tunaenda wote Bank kutoa hela na ananiambia chukua na rist nachukua
Lakini cha kushangaza ameanza tabia ya kunisingizia na maneno ya kwamba namnyanyasa na nina tabia mbaya ambayo mda mwingine naacha inaanza tena nikimuuliza nakunyanyasaje hanijibu anasema Sina cha kukujibu
Sasa Juzi kuna rafiki yangu alinipigia simu nikapokea akawa ananisalimia tu na wala si wa kike ni wa kiume lakini akinikatazaga kuwasiliana naye na alifuta namba yake kwenye simu yangu sasa jamaa kanipigia nikapokea tuu hapo akachukia na kuanza kuniambia ndiyo mnawasiliana ili kesho mkaonane muende kwa wanawake zenu na wakati huo mimi nasali hata tabia ya kutafuta wanawake sina
Ikafika jana bado amenuna Tuu nilipirudi kazini akaniambia naondoka nikamuuliza unaenda wapi akasema naenda kuongea huko namuukiza wapi hanijibu ila alichoniambia ni kwamba mimi nilikuwa kazini nikamuacha peke yake basi nikamwambia Kama unataka tuendage wote kazini
Basi nikamuuliza pia kwa nini umekasirika hivyo na unanijibu kama vile sio mme wako?
Akasema yaani wewe mwanaume mnyanyasaji na tabia zako nimezichoka na Kama una taka hao wanawake walete humu ndani tuwe tunaishi wote mmmmh wakati huo Sina mke mengine zaidi yake
Nikamuuliza swali la kwanza
Nakunyanyasaje na pia nina tabia gani hizo pia wanawake gani mbona sina nina wewe tu
Msaada jamani eti nifanyaje kwa hili
Pouwa nitalifanyia kaziKwa picha haraka haraka hapo ni kwamba humfikishi kileleni kwenye mapenzi!!! japo unampa hela sijui na nini lakini kwenye kufanya tendo pendwa unaonekana ni zero kama sio sifuri ndio maana anasema una mnyanyasa halafu hataki kuwa wazi, pia anahisi kwamba uzembe wako kwenye mapenzi labda unakuwa umeshafanya huko nje ndio maana ukija kwake una under perform
Hakuna nilichobadilika ndiyo namuuliza hanijibu lolote namnyanyasaje na pia nina tabia ganiKaa nae umuulize kwa upole tatizo nini!
Ila nawewe jichunguze tabia yako huenda kuna kitu kimebadilika anahisi unamcheat huko nje!
Kwa ujauzito hana labda hiloKimjazacho mtu ndicho kimtokacho. Elewa kuwa, baada ya kutomfikisha, amekuwa akikojolewa na rafiki yako. Kelele zote ni kukufanj=ya usimshtukie huyo jamaa.
Pili; huenda mjamzito. Hayo ndo mambo yao. Ila kweli, si mwaminifu. Mwambie kuwa, akukubali tu ulivyo
Kama ni mjamzito mpuuzie tu ni kawaida yao, kama hana mchape makofi mawili matatu akili imsogeeNimeoa Nina mke na nina mpenda kila kitu nampa na isitoshe mshahara wangu ukitoka huwa namwambia na tunapanga bajeti yetu tunaenda wote Bank kutoa hela na ananiambia chukua na rist nachukua
Lakini cha kushangaza ameanza tabia ya kunisingizia na maneno ya kwamba namnyanyasa na nina tabia mbaya ambayo mda mwingine naacha inaanza tena nikimuuliza nakunyanyasaje hanijibu anasema Sina cha kukujibu
Sasa Juzi kuna rafiki yangu alinipigia simu nikapokea akawa ananisalimia tu na wala si wa kike ni wa kiume lakini akinikatazaga kuwasiliana naye na alifuta namba yake kwenye simu yangu sasa jamaa kanipigia nikapokea tuu hapo akachukia na kuanza kuniambia ndiyo mnawasiliana ili kesho mkaonane muende kwa wanawake zenu na wakati huo mimi nasali hata tabia ya kutafuta wanawake sina
Ikafika jana bado amenuna Tuu nilipirudi kazini akaniambia naondoka nikamuuliza unaenda wapi akasema naenda kuongea huko namuukiza wapi hanijibu ila alichoniambia ni kwamba mimi nilikuwa kazini nikamuacha peke yake basi nikamwambia Kama unataka tuendage wote kazini
Basi nikamuuliza pia kwa nini umekasirika hivyo na unanijibu kama vile sio mme wako?
Akasema yaani wewe mwanaume mnyanyasaji na tabia zako nimezichoka na Kama una taka hao wanawake walete humu ndani tuwe tunaishi wote mmmmh wakati huo Sina mke mengine zaidi yake
Nikamuuliza swali la kwanza
Nakunyanyasaje na pia nina tabia gani hizo pia wanawake gani mbona sina nina wewe tu
Msaada jamani eti nifanyaje kwa hili
Mwaka mmoja sasa sikuwahi kuwa na tabia ya wanawake nje maana tuliwekeana ahadi tangu mwaka 2014 tulivyomaliza form four akaenda chuo cha nursing nami nikaenda form five nilipomaliza form six tukaanza harakati za kuishi pamoja na mpaka sasa ndiyo tuna mwaka mmoja na hiyo tabia sikuwa nayoPole sana mkuu
Huyo mwanamke una muda gan nae kwenye ndoa? Na hiyo tabia ya kuwa na wanawake nje uliwahi kuwa Nayo?
Kwa ujauzito hana labda hilo
Kimjazacho mtu ndicho kimutokacho nimekuwa nikimwambia mara kwa mara kwamba au unapenda kutoka wanaume wengine maana huwezi ukawa unaniambia nina tabia mbaya na wakafikisha sioni nina tabia gani mbaya
Kumkomesha, tafuta kimada pembeni. Akili zitamkaa vizuri.
tyudy akili za kuambiwa changanya na za kwako (J.K.)Kama ni mjamzito mpuuzie tu ni kawaida yao, kama hana mchape makofi mawili matatu akili imsogee
Nimeoa Nina mke na nina mpenda kila kitu nampa na isitoshe mshahara wangu ukitoka huwa namwambia na tunapanga bajeti yetu tunaenda wote Bank kutoa hela na ananiambia chukua na rist nachukua
Lakini cha kushangaza ameanza tabia ya kunisingizia na maneno ya kwamba namnyanyasa na nina tabia mbaya ambayo mda mwingine naacha inaanza tena nikimuuliza nakunyanyasaje hanijibu anasema Sina cha kukujibu
Sasa Juzi kuna rafiki yangu alinipigia simu nikapokea akawa ananisalimia tu na wala si wa kike ni wa kiume lakini akinikatazaga kuwasiliana naye na alifuta namba yake kwenye simu yangu sasa jamaa kanipigia nikapokea tuu hapo akachukia na kuanza kuniambia ndiyo mnawasiliana ili kesho mkaonane muende kwa wanawake zenu na wakati huo mimi nasali hata tabia ya kutafuta wanawake sina
Ikafika jana bado amenuna Tuu nilipirudi kazini akaniambia naondoka nikamuuliza unaenda wapi akasema naenda kuongea huko namuukiza wapi hanijibu ila alichoniambia ni kwamba mimi nilikuwa kazini nikamuacha peke yake basi nikamwambia Kama unataka tuendage wote kazini
Basi nikamuuliza pia kwa nini umekasirika hivyo na unanijibu kama vile sio mme wako?
Akasema yaani wewe mwanaume mnyanyasaji na tabia zako nimezichoka na Kama una taka hao wanawake walete humu ndani tuwe tunaishi wote mmmmh wakati huo Sina mke mengine zaidi yake
Nikamuuliza swali la kwanza
Nakunyanyasaje na pia nina tabia gani hizo pia wanawake gani mbona sina nina wewe tu
Msaada jamani eti nifanyaje kwa hili
Hebu jari u Ku practice some of tabia mbaya. Like chelewa kurudi nyumbani,akikuuliza mwambie nakwepa kisirani chako. Maana hicho ni kisirani tu
Hilo nalijua Sana kaka lazima nichambue lipi la kunijenga na lipi la kutonijengatyudy akili za kuambiwa changanya na za kwako (J.K.)
In short anakuendesha. Na mwanamke wa dsain hizi akikaa na wenzie anasema mume wangu nmemshika kiganjani hafurukuti. Mpeleke kwanza kwao akake Hata miezi mi3 kwanza. Huoni umuhimu wa kitu mpaka ukipoteze,atajifunza. Na Kama hujaoa basi Fanya uachane tu Maana Kama umemaliza shule 2014 mmh. Balehe inamsumbua huyoHilo nalijua Sana kaka lazima nichambue lipi la kunijenga na lipi la kutonijenga
Kwa swala la kumpiga huwa akikuta ni kama nimechukia utasikia ukinipiga tu namwambia bosi wako tuone Kama utaendelea na kazi na ni kweli nikithubutu kumpiga akienda kwa bosi lazima nishitakiwe na kuweka tabia mbaya kwa bosi wangu kwamba nampiga mke wangu ndipo nakuta mmmmh nikimzaba kofi ataenda kwa bosi so nabaki kunyamaza tu