startergear
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 724
- 977
Wadau wa jukwaa hili nina imani kubwa sana nitasaidiwa na wataalam wa mambo ya mifugo hapa.
Ni hivi nina ng'ombe wangu hapa ambaye alipandwa mwezi februali mwaka huu, tatizo ni kwamba tangu apate mimba amekuwa akisumbua kila uchwao, mfano huwa anagoma kunywa maji mara nyingine unywaji wake ni kidogo sana.
Lakini anajisaidia kinyesi lainiii mno, halafu sometimes anashindwa kunyenyuka mpaka tutumie nguvu kumuinua. Alikuja mtaalam wa mifugo akasema ana minyoo na hawezi kumpa dawa kwa sababu ana mimba hivyo ingetoka, akanishauri niwe nampa madini na vitamin A.
Nimempa weee mpaka nikawa nam'overdose lakini wapi, hivi sasa hana hata dalili ya kuzaa na anashindwa kunyenyuka kabisa.
Karibuni wadau mwenye uelewa na magonjwa na tiba za wanyama nisaidien please..