mama wa kwanza i am in love with your avatorusijali mpenz Mungu atakusaidia na habari zitakuwa njema kama furaha ya Teamo.wote ntawakumbuka katika maombi yangu ya usiku wa leo
haya mama!....
NIMERUDI KWENYE SAFU YA WANAMAOMBI kwa kasi ya kimbunga.
kesi yako ni nzito lakin kwa maisha ya kisasa imeonekana ''kupendwa sana''.
bottom line nakuombea dua umtoe huyo kiumbe humo tumboni
ingawa kila nikiangalia tarehe za harus yako na siku ya kujifungua naona kama kuna UCHAKACHUAJI HAPO hapoarty:
ahahahhhaha, we acha bwana si kuna mtu kasema lazima u shake before use???? yaani we acha hiyo unasema kupendwa kwa CS, mie si mmoja wao.....due to very unavoidable medical reasons its the safest way! sio eti sipendi kuharibu mazingira downstairs!!!! LOL
haya mwanamke.....!hivi kwa nini watu wamejiwekea kupush ni jambo la kujivunia?
such painful and sometimes long procedure???
mie ningekuwa ndio wewe Shishi,ningefurahi nimepewa option ya CS
huko kijijini na sehemu nyengine watu hawana alternative zaidi ya kupush...
wengine tuna phobia ya kuzaa nadhani...:redfaces::redfaces::redfaces:
haya mwanamke.....!
huu mjadala ni mrefu sana,miye nikiongea ninachokijua nitaonekana NAWADHALILISHA WANAWAKE.naomba nizihifadhi comments zangu kwenye hili kwasababu naamini wewe bado....