Jamani na mie mnikumbuke katika DUA zenu!!

Shishi

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
1,243
39
Dear JF sisters n bros....( wakuchakachua, kuchakachuliwa na kuchakachuana),

Jamani tukiendelea kumuombea Teamo na kabinti kake, Da Sophy na kadume ( another heartbreaker ahahha), may I send this request to you all.... safari yangu pia imefikia ukingoni. I have a scheduled CS for next wk tuesday 14thdec asubuhi saa mbili InshaAllah. CS due to medical reasons, I wd have loved to push....lakini ndivyo hivyo!

So plz nawaombeni mnikumbuke tu! Thanks a bunch!!:hug::hug::hug:
 
Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,275
1,015
haya mama!....
NIMERUDI KWENYE SAFU YA WANAMAOMBI kwa kasi ya kimbunga.
kesi yako ni nzito lakin kwa maisha ya kisasa imeonekana ''kupendwa sana''.
bottom line nakuombea dua umtoe huyo kiumbe humo tumboni

ingawa kila nikiangalia tarehe za harus yako na siku ya kujifungua naona kama kuna UCHAKACHUAJI HAPO hapo:party:
 
Tambara Bovu

JF-Expert Member
Dec 19, 2007
585
136
usijali mpenz Mungu atakusaidia na habari zitakuwa njema kama furaha ya Teamo.wote ntawakumbuka katika maombi yangu ya usiku wa leo
 
JS

JF-Expert Member
Sep 29, 2009
2,065
494
Mungu yupo pamoja nawe na utajifungua salama. Nitakukumbuka kwenye maombi yangu.
 
Shishi

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
1,243
39
haya mama!....
NIMERUDI KWENYE SAFU YA WANAMAOMBI kwa kasi ya kimbunga.
kesi yako ni nzito lakin kwa maisha ya kisasa imeonekana ''kupendwa sana''.
bottom line nakuombea dua umtoe huyo kiumbe humo tumboni

ingawa kila nikiangalia tarehe za harus yako na siku ya kujifungua naona kama kuna UCHAKACHUAJI HAPO hapo:party:

ahahahhhaha, we acha bwana si kuna mtu kasema lazima u shake before use???? yaani we acha hiyo unasema kupendwa kwa CS, mie si mmoja wao.....due to very unavoidable medical reasons its the safest way! sio eti sipendi kuharibu mazingira downstairs!!!! LOL
 
Kimey

JF-Expert Member
Mar 25, 2009
4,117
827
Ngoja niweke ratiba ya kwenda Altareni mpaka siku hiyo malaika wetu atakapo zaliwa! :angel:
 
Fab

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
762
14
ahahahhhaha, we acha bwana si kuna mtu kasema lazima u shake before use???? yaani we acha hiyo unasema kupendwa kwa CS, mie si mmoja wao.....due to very unavoidable medical reasons its the safest way! sio eti sipendi kuharibu mazingira downstairs!!!! LOL

hivi kwa nini watu wamejiwekea kupush ni jambo la kujivunia?
such painful and sometimes long procedure???
mie ningekuwa ndio wewe Shishi,ningefurahi nimepewa option ya CS
huko kijijini na sehemu nyengine watu hawana alternative zaidi ya kupush...
wengine tuna phobia ya kuzaa nadhani...:redfaces::redfaces::redfaces:
 
Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,275
1,015
hivi kwa nini watu wamejiwekea kupush ni jambo la kujivunia?
such painful and sometimes long procedure???
mie ningekuwa ndio wewe Shishi,ningefurahi nimepewa option ya CS
huko kijijini na sehemu nyengine watu hawana alternative zaidi ya kupush...
wengine tuna phobia ya kuzaa nadhani...:redfaces::redfaces::redfaces:
haya mwanamke.....!
huu mjadala ni mrefu sana,miye nikiongea ninachokijua nitaonekana NAWADHALILISHA WANAWAKE.naomba nizihifadhi comments zangu kwenye hili kwasababu naamini wewe bado....
 
Next Level

JF-Expert Member
Nov 17, 2008
3,154
163
..........''nawe EVA utazaa kwa uchungu.......''! imendikwa hivyo kwenye vitabu vitakatifu.......so tunakuombea maneno hayo yatimie juu yako kwa furaha na uje ufurahie uzao wako......!
 
Fab

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
762
14
haya mwanamke.....!
huu mjadala ni mrefu sana,miye nikiongea ninachokijua nitaonekana NAWADHALILISHA WANAWAKE.naomba nizihifadhi comments zangu kwenye hili kwasababu naamini wewe bado....

tuko hapa kuelimishana,kwa nini utaonekana unadhalilisha wanawake tena???
mwenyewe umesema juzi mkeo alikuwa labour for almost 15 hours,can you imagine the pain..?
ni kweli mie bado na siyajui haya mambo,ila naongea ukweli ikifika zamu yangu kama kuna option nitachagua CS...
nalala nikiamka,namkuta mtoto wangu baaaaaaaaaaaaasi! :teeth::teeth::teeth:
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom