godfrey mgoyezi
Member
- Sep 1, 2015
- 49
- 6
Hawana qualities za kuwa kwenye channel za DSTV..full stop.
Jamani wakuu naomba kuuliza kwann Clouds Tv haipo kwenye list???
Haina license ya kuonekana nchi nzima. Ndio maana hata kwenye baadhi ya ving'amuzi ukiwa mikoa Fulani haionekani
hao ndyo wakongwe wa digital acha wapandishe....