Jamani Mume wangu Ananiogopa...

Domo lako linanitisha nitakupaje denda?
 
nkadabwi, asante kwa ushauri ila sivaagi shanga. Jina lako lina maadhi ya mikoa ya lindi na mtawar teh

haswaaaa,,we si unaona hapo kitu cha "n"
kwenye "m" kiroho safi naitoa na naweka zangu "n"
ndio home sweet home huko
msalimie ndugu yangu huyo,pia mwambie awe anakuja kuja feri pale kupata supu ya pweza nayo inasaidia atii..!!!
 
Reactions: awp

Nafasi hizi za kushikwashikwa wengi huwa tunazikosa, halafu wanazipata waotaka kushikwa. Jamaniiiiiiiii!


Ushauri
Mjengee confidence ya kutosha kabla ya malavidavi, kwa maana ya kumpa uhuru wa kuongea. Likewise mhakikishie, kwa maneno na vitendo kwamba wewe ni wake na yeye ni wako. This may make a change.
 
Reactions: awp
domo lako linanitisha nitakupaje denda?



ohoooh ushaaanza kuninyapaa ivo??
Jamani ukitaka burudani lazima ukubali na karaha kwa upande mwingine wangu
au basi nitavaa kiziba sura,,after all tatzo lako ww ni la kiufundi zaid
denda wala haingiliani na tatzo la ndugu yangu huyo
ndugu yangu huyo according to wewe ni kwamba n"dololo wake hausimami vizuri na sio kua hakupgi denda vizuri au sio??
Me naiweza kazi hiyo jamani pamoja na ubaya huu wa sura yangu
 
Reactions: awp

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…