Asante kwa ushauri, nimejaribu na ninaendelea kumchimba anatoa sababu nusunusu. Labda kwa vile anakaa kwangu
Bi mkubwa ngoja nikupe siri ya wanaume,Habari wana jf,
Jamani mwenzenu nimepata mtu mzima mwenzangu wa kuliwazana cha jabu huyu kaka tunapokuwa tuko faragha namuona hajiamini hata kidogo, licha ya kumwachia mwili wangu wote lakini, bado ananiogopa. Najitahidi kumapa malavidavi yote bado hajiamini,
pili tatizo nililomgundua uwezo wa kuplay game for 20minutes hawezi, yaani nikibadilisha mkao tuu kosa inadidi uibust, je wapenzi ni tatizo gani? maumbile au kwa vile ananiogopa? ushauri wenu tafadhali
Mimi mwenyewe najiweza kwa kila kitu, kwa umri yeye kanizidi miezi 3 tuu tumezaliwa mwaka mmoja. Nimempa uhuru wa kutawala familia yetu na kila kitu kwangu kasoro hati ya nyumba tuu, na bado hajiamini. anyway may be baadae atakaa sawaHuenda wewe ume/na - dominate kila kitu kuanzia maandalizi ya uwanja, mechi, ufadhili ikiwa ni pamoja na mkate wake wa kila siku - kwa maana kwamba pesa ya kubadili mboga unayo na huna haja na yake, wewe unachohitaji kwake ni ajitume na kunako 6x6 na kukupa raha mtoto wa kike. Katika maisha kama hayo na hasa kama unamzidi umri lazima conf. inamshuka. Likini kama ndio umekufa na kuoza unasubiri kuzikwa, inabidi ubadili kazi na kuwa Mshauri Nasaha wake ili aweze kujiamini.
Asante kwa ushauri mzuri Mzuri nitazingatiaBi mkubwa ngoja nikupe siri ya wanaume,
Cha kwanza ni kwamba uwezo wote wa kufurukuta kwenye majamboz kwa wanaume huwa kichwani na sio kwenye suruali, hii ndio maana hujawahi sikia mwanaume amebakwa kwasababu kama kubakwa ni kitendo cha kulazimishwa bila hiyari basi mwanaume kamwe hawezi kubakwa. Sasa hebu turudi kwenye kesi yako na huyo mtu mzima mwenzio.
Kawaida wanaume huwa tunaji rank kwa wanawake wa namna gani tunaweza kutoka nao. Sasa ikitokea ukatoka na mwanamke ambaye kwa mujibu ya halmashauri ya kichwa chako is way beyond your expectations ndio kutokujiamini huwa kunatokea. Sasa inawezekana kabisa hilo ndilo likawa tatizo la huyo mwenzio. Pili, kutokujiamini kwake kunamfanya ahisi huenda muda wowote unaweza ukamtosa kwahiyo ndio maana unapobadilisha style yeye kwisha habari yake coz akili yake humtuma kwamba huenda hajakuridhisha na hiyo huamsha mfadhaiko ambao ni sumu kwa uwezo wa mwanaume ku perform.
Sasa kwa ushauri wangu mimi ni kwamba, endelea kumvumilia kwenye kipindi hiki kwasababu baada ya muda atagundua kwamba uko tayari kuwa naye kwa mapungufu yake na naamini atarudi kuwa normal na huenda akaenda even boyond 20mins unazozitaka wewe.
Smile game yako ya kitoto kumbe,dk 20 ni warm up tuddk 20 mbona nyingi sana?
unataka kumuua mwenzio?
asante kwa ushauri, nimejaribu na ninaendelea kumchimba anatoa sababu nusunusu. labda kwa vile anakaa kwangu
hongera kwa kuoa aisee!ila hakupendi huyo unachunwa tu hapoMimi mwenyewe najiweza kwa kila kitu, kwa umri yeye kanizidi miezi 3 tuu tumezaliwa mwaka mmoja. Nimempa uhuru wa kutawala familia yetu na kila kitu kwangu kasoro hati ya nyumba tuu, na bado hajiamini. anyway may be baadae atakaa sawa
A MAN NEEDS A CONTROL myu dear,nahisi una kaattitude flani hivi ambako kwa uzoefu wangu mie kungwi kiukweli huyo mwanaume hanyanyuki kwa sababu nyingi!Mimi mwenyewe najiweza kwa kila kitu, kwa umri yeye kanizidi miezi 3 tuu tumezaliwa mwaka mmoja. Nimempa uhuru wa kutawala familia yetu na kila kitu kwangu kasoro hati ya nyumba tuu, na bado hajiamini. anyway may be baadae atakaa sawa
hongera kwa kuoa aisee!ila hakupendi huyo unachunwa tu hapo
Mapenzi hayana haya...ikiwa mwenzenu shughuli inamshinda kuna makosa gani dada kutafuta solution...Mtoto wa Kike lazima uwe na haya, inaoneka we huna Haya/Soni, unamfanyia full ukauzu, hata mie lazima ningejiuliza mara 2 2, mtoto wa kike lazima u pretend, hata kujifanya unaumia ilhal huumiii wala nn., especially siku za mwanzoni, namhurumia huyo Mtu mzima mwenzio kwa kukutana na Gube Gube
A MAN NEEDS A CONTROL myu dear,nahisi una kaattitude flani hivi ambako kwa uzoefu wangu mie kungwi kiukweli huyo mwanaume hanyanyuki kwa sababu nyingi!
nahisi haoni uanaume wake umekamilika!jamani mi kila siku nasema haya mambo ya kujifanya mnaweza kila kitu haya yanawaharibia sana mahusiano na muwapendao!hebu muonyeshe huyo mwanaume unamhitaji zaidi ya dushelele!be a lady !be a babe!be a sweet little thing!hii ya kusema mi mwenyewe najimudu kila kitu,nina nyumba,sihitaji hela yake , my dear unampoteza huyo mwanaume hivi hivi!akikuatana na mibazazi ya kike inayonyorodoa jicho na sauti kama wapo mkoleni walahi utamsikia kwenye bomba!
a woman shuld be one!anayenipinga na anipinge lakini HABARI NDYO HIYO!
Hapo kwenye red - au SIO RIJALI HUYO???? - nina maana sio FULL MAN
wanaume wengine - utamwona na wadada akiwasiliana nao na kutongoza kwa sana KUMBE ANA KASORO - INAWEZEKANA KAZALIWA HIVYO ............... YAANI HAKWEI MTUNGI ............ mh! dunia ina mambo jamani. So huyo naye labda ana tatizo hilo??????
Habari wana jf,
Jamani mwenzenu nimepata mtu mzima mwenzangu wa kuliwazana cha jabu huyu kaka tunapokuwa tuko faragha namuona hajiamini hata kidogo, licha ya kumwachia mwili wangu wote lakini, bado ananiogopa. Najitahidi kumapa malavidavi yote bado hajiamini,
pili tatizo nililomgundua uwezo wa kuplay game for 20minutes hawezi, yaani nikibadilisha mkao tuu kosa inadidi uibust, je wapenzi ni tatizo gani? maumbile au kwa vile ananiogopa? ushauri wenu tafadhali
Habari wana jf,
Jamani mwenzenu nimepata mtu mzima mwenzangu wa kuliwazana cha jabu huyu kaka tunapokuwa tuko faragha namuona hajiamini hata kidogo, licha ya kumwachia mwili wangu wote lakini, bado ananiogopa. Najitahidi kumapa malavidavi yote bado hajiamini,
pili tatizo nililomgundua uwezo wa kuplay game for 20minutes hawezi, yaani nikibadilisha mkao tuu kosa inadidi uibust, je wapenzi ni tatizo gani? maumbile au kwa vile ananiogopa? ushauri wenu tafadhali
Ahaa haa mdau, dk 20 mbona kawaida sana hasa kitu cha 2 or 3 na kuendelea? usimvike upofu bana.ddk 20 mbona nyingi sana?
unataka kumuua mwenzio?