Simu yangu ni N79 ,ninapotumia line ya vodacom kuacess Jamiiforums inafunguka vizuri lakini nikiweka line ya Zain au Tigo haifunguki kabisa,naomba kuwasilisha Asante.
Simu yako ni ndogo kuweza kuwa na setting tofauti kwa wakati mmoja itakubidi kila unapobadili line ubadilishe na setting pia otherwise upate Nokia E-series