INSPECTOR JOE
Member
- Apr 14, 2014
- 26
- 12
Njoo hapa Que Pasa.......Karen..... mara moja.......panahappen mbaya kabisa.......tudiscuss hii issue yako........
wapendwa mm sina hata wa kunifariji ...
yote hii kisa nimeachika plz naombeni ushauri wenu..
Ukiwa mkubwa upweke utaisha
Ukubwani ndo unazidi hasa ukiwa huonekani
hapo nimekusomaUnajua huyu sio mpweke bali anapitia kile kipindi kigumu cha kupigwa kibuti, na kwa tafsiri ya wengi huo ndio upweke! Kumkosa mwandani mtima wa roho ambaye mnaweza kukaa pekeyenu mkanong'onezana ya moyoni, yale yalifichika kwenye uvungu wa mioyo
Lakini kuna upweke wa mawazo, upweke wa uchumi upweke wa kazi,upweke wa imani yani huna kitu unachojinasibu nacho
sijui nifanyeje
Wapendwa mimi sina hata wa kunifariji,yote hii kisa nimeachika.Nilikuwa na mpenzi wangu tuliokuwa tunapenda sana ila aliamua kuniacha bila kuniambia sababu, sasa mimi nimebaki mpweke.
Please naombeni ushauri wenu
sijui nifanyeje
sijui nifanyeje