Mi Wamama Na Wadada Wenye Mijitambi Mikubwa Iliyovimba na Kuchomoza Usawa Wa Kitovu
Wananipa Presha Ya Moyo Kwa Kweli
Hadi sasa hilo ndilo ninalolihofia , unajua kuna mambo mengi sana yavutiayo kwa wadada ,ila hili ni nambari one wala halina mbadala ,na wao wenyewe wanajua kuwa ,sijui nyonga,mandwenye,sura ,miguu ,hamna kitu ,mwananmke akituliza kifua chake utafikiri anataka kuuliza ,na shape yake yote hukamilishwa na umbile la matiti ni jinsi gani yemetulia .Usije ukafa, maana mshituko wa moyo umewaondoa weng
Kusema kweli sawabu au tunasema msema kweli mpenzi wa Mungu natumai kwa hapo tunakubaliana ,mwenzenu mbali ya kutangaza na kutaka ushauri kwa kila ninaloliona lipo njia ya panda kwangu ,nakuja JF 1
Sasa nimevumilia lakini naona kwa hili halivumiliki ,hivi kwa nini yale matiti yaliokaa au yaitwayo saa sita ,yamesimama yamechonga mbele yamejaa kiushindani ,sio yamejaa kama mpira wa miguu ,a'ah' yaani yapo utaona tu yamechomoza na hayakung'ang'ania kifua ,wadada walio na aina hii basi wajue wamebahatika kwangu ! Mimi huyaita mapapai mabichi.
Hivi haya yanaplay part katika kumpenda na wadada walio na dizaini hii wanaringa kupita maelezo ,hapa JF sijaona ,cjui ila kama mmpo tuwekeeni picha ,ole wako wengine wanategemea sidiriya kutegeshah ,mbona nilimkimbia siku moja ,aloo ni flate tyre na bado kijana kabisa ,sijui anayalalia ,nilitoka baruti wala sijui nilisahau kitu gani ,niliaga kiaina tu.
Hivi huwaga mnatumia mitishamba au ni kitu natural /?
Wewe kijana utakufa kabvla ya muda wako, unahitaji ushaurui nasaha na ikishindiukana basi upate maombezi ya toba. Angalia hayo hapo uongeze dhambi zako mwenyewe!!!
View attachment 198484
Wewe kijana utakufa kabvla ya muda wako, unahitaji ushaurui nasaha na ikishindiukana basi upate maombezi ya toba. Angalia hayo hapo uongeze dhambi zako mwenyewe!!!
View attachment 198484
eeeenh Mama Mdogo taratibu, wengine ndoa zetu bado changa
Punguza ukware, na vutalinda ndoa yako changa!!!
Kwa asili yake mwanamke anapobalehe matiti yakiota huya yamesimama wima, na hali hii huendelea kwa muda, na baadaye huanza kuinama kutokana na sababu kuu tano: umri, mazoezi yanayosababisha matiti kutingishika mfano kukimbia, kuruka, kuongezeka uzito, na uvutaji sigara; ila kumbuka, kunyonyesha haskuangushi matiti. Ila unavyoyashabikia matiti dodo wewe kijana utakufa kabla ya muda wako, unahitaji ushauri nasaha na ikishindikana basi upate maombezi ya toba. Angalia hayo hapo uongeze dhambi zako mwenyewe!!!
View attachment 198484
Zina nini jamani mbona mwanifukuza ? Sasa napenda hali hiyo,inanipa tabu nimefika hadi kumuoda nasi,nae alikuwa mnhu kanizidisha maradhi ,unajua vikoti vyao ,mtu anakuwona waziwazi unachunguliayah ! Kanishauri nivae miwani nitapunguza joto la miguu !wee nae stori zako!!!