Jamani maloan officer mnalaana

Nadhani aim kubwa ya uzi huu ni tujue unademu 'loan officer'..hongera baba..
 
ni umasikini tuu ila ukweli kabisa mke yafaa akae nyumbani alee familia!!!!halafu sijapata ona tajiri ambaye mke wake ameajiriwa,watu wote waliofanikiwa ktk maisha wake zao sii waajiriwa

Wrong....
 
Nilishafanya hiyo kazi nilivomaliza 6 wakati nasubiri kwenda chuo. Ni kazi ya hovyo sana...unakuwa muongo na kama tapeli fulani hivi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…