Jamani mali mpya imewasili

Ngongoseke

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
3,202
Reaction score
1,464
Mzigo mpya wakanga umeingia!
1. Waliopiga mabomu, Mungu atawahukumu.
2. Bora uwe mkarimu, kama Sheikh Msellem.
3. Hebu usiwe hasidi, kama Balozi Seif Ali Iddi.
4. Wapiga watu kwa sifa, kama hawataki kufa.
5. Waliovunja kanisa, waje nitawapa pesa.
6. Uamsho namba wani, sio kundi la wahuni.
7. Watakao Muungano, hawafiki hata watano.
8. Nyie watu wa Kisonge, lenu kupokea mwenge.
9. Sisi sio CCM tuna akili timamu.
10. Lisopenda mihadhara hilo ni jitu la bara.
 
Mwenye kuhitajia ani PM tu mzigo upo wakutosha
 
mngekuwa wabunifu hadi kwenye teknolojia mbona tungekua mbali...
 
hahaa.. . hebu niwekee oda ya jora mbili kwenye namba 3
 
namba 5 uuuwi ngoja niku PM fasta
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…