Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033

Sasa kumbe hata wewe hujui kama kalogwa?

Nnachoweza kusema ni kwamba huyo dada anachofanya sio kizuri na wala sio sahihi hata kidogo.Ajaribu kua na heshima..au anadhani huyo mumewe alishushwa toka mawinguni!
ninakaka yangu wa pekee ktk familia ya watu 5.ameoa mwanamke wa kioldmoshi.jamani dada huyo hafai.kwa uchoyo,mdomo na ubinafsi.kuna siku kaka yangu alitoa elfu 50 kumpa mama yangu imsaidie amefanyiwa oparation .mwanamke akachapa lapa kwao.yani hataki msaada wowote uende kwa mama yangu.ameshatusababisha ndugu wote tugombane na kaka yetu.ili aweze kufaidi peke yake kwa kumtawala.juzi mama yangu aliomba pesa ya kununua jiko kwa kaka.mkewe akatuma msg kwa mama.kwamba mumewe anabanwa sana na ujenzi kama hana mahali pengine pa kupata hela akavunje mahali aibe.ikabidi ndugu tuingilie kati kumuuliza wifi yetu kulikoni jamani anatutukania mama yetu aliyetulea kwa shida toka afariki baba yetu miaka 23 iliyopita.cha ajabu kaka alisaport alichokifanya na kukisema mkewe.yaani tumebaki midomo wazi. Na mshangao juu.jamani huyu kaka kalogwa au ni upoyoyo wake mwenyewe?
mko wa tano,

swali nyinyi wengine mnafanya nini?
kila mtu anajituma kumsaidia mama kwa uwezo wake.ila yeye mpaka umlazimishe.
kaka yenu ni wangapi kuzaliwa????/
wapili
ndoa yake ina miaka mingapi??

5
ikibidi msipate kabisa misaada ya kaka yenu itakuaje?????/[/hatunashida nayo coz tunajitegemea pia cc.ila yeye ndo analeta poz kumsaidia mamaQUOTE]

tupo watano na tunamsaidia mama kila mtu kwa uwezo wake lkn yeye sasa then yupo peke wa kiume then ni wa 3 kuzaliwa.aisee bora watoto wa kike coz hukumbuka kwao.wakiume hamna kitu.

nimeolewa na ninamiaka 10 kwenye ndoa na ninamuheshimu na kumtunza mamamkwe wangu vibaya sanasasa weee dada buku 50 tu inakutoa roho mpaka unatangaza humu?? vitu vidogo tu hivyo,,au wee ndo umelogwa?? kwanza umeolewa kweli wewe? labda tuanzie hapo
nyie wanne mnamsaidiaje mama yenu? Elfu hamsini haiwezi kuwa tatizo kwa watu wazima wanne kumpata mama yao!

nimeolewa na ninamiaka 10 kwenye ndoa na ninamuheshimu na kumtunza mamamkwe wangu vibaya sana

wala!!! inaelekea nyie mmemzoea vibaya huyo kaka yenu, mpo wa5 lakini cjackia mkijichanga kumpa mama msaada, ooh,kaka katoa 50,kaka anunue jiko.... wifi yako mjanja bwana,akiwaendekeza mtamrudisha kijijini wakati mjini patamu.....loh!!!mmezidi.. umeolewa dada?? embu olewa yakukute ww uone utafanyaje,tena ww ndo unaweza ukamfungia huyo mumeo hata kwenda kwao kama ukijua kuwa akienda 2 lazima arudi m2pu,na lyf hii ya bongo she z veeeeeeeeery right.