adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,949 Reaction score 5,399 Dec 15, 2012 #1 Niko tazara kuna gari karibu 10 za ffu zinaelekea mjini. Mwenye habari kumenuka wapi atuhabarishe jamani. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Niko tazara kuna gari karibu 10 za ffu zinaelekea mjini. Mwenye habari kumenuka wapi atuhabarishe jamani. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 25,200 Reaction score 27,383 Dec 15, 2012 #2 Wasije wakawa wanaenda kubadilishana lindo katika mabenki
VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,140 Reaction score 18,007 Dec 15, 2012 #3 Ndio Difenda kumi Mkuu Jabulani?
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,348 Reaction score 16,812 Dec 15, 2012 #4 Kichwani-Kichwa said: Ndio Difenda kumi Mkuu Jabulani? Click to expand... achana na Jabulani!!!avatar yake yenyewe umeiona!? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kichwani-Kichwa said: Ndio Difenda kumi Mkuu Jabulani? Click to expand... achana na Jabulani!!!avatar yake yenyewe umeiona!?