Jamani kuna niliyemkosea mbona kila mara radi inapiga tu mkabala na dirisha langu ghetoni?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
60,043
119,616
Kama ni Uchawi basi nadhani huu sasa umezidi. Tokea mvua ianze kunyesha asubuhi hii hapa jijini Dar inayoambatana na Radi kali kabisa nashangaa hii radi haizunguki mbali na dirisha langu na hata ikianza tu kutoa ule mwanga wake unamulika ndani mwangu na ikipiga inapigia hapa hapa tu mkabala na dirisha langu kitendo ambacho kimenitisha na kuniogopesha mno.

Kuna Mtu kaniambia kuwa yawezekana nimembandua Mwanamke wa Kiha au Mkara au Mkerewe ( ambao ndiyo wenye aina hii ya Uchawi ) halafu sijamtoa mtonyo wake hivyo wanataka kunimaliza lakini kwa bahati mbaya sana sina kumbukumbu yoyote juu ya hili.

Naombeni msaada wenu tafadhali nifanyeje ili hii Radi ihame kuwa karibu na dirisha langu au kama kuna Member pengine yupo humu nimemkwaza hivyo anataka kunimaliza na hii Radi ajitokeze tu nimpigie magoti nimwombe radhi upesi.

Sidhani kama aina hii ya Radi ninayoiona ni ya Kisayansi bali nahisi ni ya Kiutamaduni zaidi.
 
Nimeshajua tatizo na aina ya uchawi huo. Unatokea kigoma kabisa na ni wa kibembe. Sasa fanya hv jumannne dandia treni au basi uje nitakukuta stand. Ipo hatua za mwanzoni hiyo, yatakutokea kama yale ya wale wanafunzi 13 kama uliona taarifa ya habar mwaka 2015..radi ilisambaza darasa nzima ohooooo
 
Kama ni Uchawi basi nadhani huu sasa umezidi. Tokea mvua ianze kunyesha asubuhi hii hapa jijini Dar inayoambatana na Radi kali kabisa nashangaa hii radi haizunguki mbali na dirisha langu na hata ikianza tu kutoa ule mwanga wake unamulika ndani mwangu na ikipiga inapigia hapa hapa tu mkabala na dirisha langu kitendo ambacho kimenitisha na kuniogopesha mno.

Kuna Mtu kaniambia kuwa yawezekana nimembandua Mwanamke wa Kiha au Mkara au Mkerewe ( ambao ndiyo wenye aina hii ya Uchawi ) halafu sijamtoa mtonyo wake hivyo wanataka kunimaliza lakini kwa bahati mbaya sana sina kumbukumbu yoyote juu ya hili.

Naombeni msaada wenu tafadhali nifanyeje ili hii Radi ihame kuwa karibu na dirisha langu au kama kuna Member pengine yupo humu nimemkwaza hivyo anataka kunimaliza na hii Radi ajitokeze tu nimpigie magoti nimwombe radhi upesi.

Sidhani kama aina hii ya Radi ninayoiona ni ya Kisayansi bali nahisi ni ya Kiutamaduni zaidi.

Hayo Makabila uliyoyataja sio wataalam wa Radi, hao ni wataalam wa Mamba, unaweza kuliwa na mamba kutoka kwenye kikombe cha chai
Wataalam wa radi wapo Lyamba la Mfipa, wala hakuitajiki Mvua na vingu kubwa, inawezekana kukawa na jua kali tu, kikaja kivingu size ya sahani ya chakula na likafumuka radi la kuunguza Nyumba
 
duh! elimu hio inatolewa wapi..nataka kutengeneza mvua maana kwetu ukame umezidi
 
Hayo Makabila uliyoyataja sio wataalam wa Radi, hao ni wataalam wa Mamba, unaweza kuliwa na mamba kutoka kwenye kikombe cha chai
Wataalam wa radi wapo Lyamba la Mfipa, wala hakuitajiki Mvua na vingu kubwa, inawezekana kukawa na jua kali tu, kikaja kivingu size ya sahani ya chakula na likafumuka radi la kuunguza Nyumba
Ahahahaha umeua
Eti mamba kutoka kwenye kikombe cha chai
Eti kawingu mithili ya kisahani cha chai
 
Back
Top Bottom