Pole sana Mkuu, unatakiwa ubeti kwa akili sana, nakumbuka wakati naanza kubeti nilipigwa hela mpaka nikazoea sababu kuu ni kuweka timu nyingi zaidi ya 15, baadae nikabadilika nikawa nacheza mechi tano tu, nikawa nampiga muhindi, sasa hivi haipiti wiki bila kumpiga laki tatu, huwezi amini mechi za Europa nimempiga meridian shilingi laki moja kwa 200