ππππKuna Mambo yakiroho yalishashika mahali hapo..π
Ondoa shaka kabisa upo sahihi sana , jambo la muhimu kaa na mumeo mueleweshe kwamba haukuwa na nia mbaya ni kuchukua tahadhali tu juu ya watoto na familia. Ongea naye vizuri tu wakati mpo faragha....Sijui kosa langu lipi hapa iko hivi,
Kuna kijana hua anafanya kazi na me wangu sasa hua anatabia yakuja kila siku jion kula nyumban
Yeye kapanga nadhan mvivu kupika tumeshamzoea ni kama mwaka sasa na hatoi hata mia
Sasa mume wangu huaa anatoka saa 3 kazini, mimi hua natoka saa 2 usiku dukan
Kama wiki hivi, nimemleta mtoto wa dada angu anisaidie majukum ana 17yrs
Sasa huyu kijana alivyoona kuna mtu nyumban akawa anakuja nyumban saa 12 anakaa mpaka tunamkuta usiku,
Mimi nilichofanya nimemwambia asiwe anakuja kukiwa nawatoto peke yao maana yupo bint huyu na mtoto wangu wa 7yrs, awe anasubir mimi nirudi au awasiliane na rafiki yake waje nae sababu hapa kuna mtoto wakike dunia haieleweki hii
Kachukia kanishataki kwa jamaa, mume wangu kanuna et ninaroho mbaya sitaki huyu kaka aje kula
Wakati mimi nimemwambia awasiliane na rafiki yake ambae ni mme wangu waje pamoja maana wanafanya kazi pamoja et nimekosea?
MUNGU akulinde na familia yakoSijui kosa langu lipi hapa iko hivi,

Nyinyi kwenu ni mabwege na mpaka leo wamekuambukiza huo ubwege kupenda kulishwalishwa bure. Mimi kwetu nikiwa form 2 niliwahi fukuza mtu mzima asiwe anakula kwetu na nikakubaliwa. Ni baada ya kugundua anafanya kazi, anaenda bar kisha anakuja kula kwetu kwa kisingizio cha urafiki wa familia. Kwake hanunui chakula inavyostahili maana hali hicho chakula, sisi tunamlisha minofu nyumbani yeye kwao wanae wanakula ugali matembele. Nikatimua huyo mpuuzi kwa ustawi wa familia yakeTangu nikiwa kijana mdogo Kuna baadhi ya watu walikuwa wanakuja kula nyumbani mpakaa Sasa wamekuwa Kama ndgu na msaada kwetu kilichpo kwako Ni uchoyo kupitia kauli yako eti hachangii hata mia ushauri Dunia tunapita acha roho mbya chakula si kitu Saana kingine Acha wivu wa kijinga Kwani huyo binti asipotoka na huyo kijana hatakuja kuguswa na wengine ...?? Jaribu kuongea na bint yako na siyo nuia uliyotumia lioneeeee[emoji16]
Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Ww ulitakiwa umwambie mume wako ndo amwambie hayo maneno uliyomwambia wanaume tunajua tunamaliza vipi mambo kama hayo sasa ww hujamshirikisha mume wako ndo tatizo hilo wakat yeye ndo faza house.Sijui kosa langu lipi hapa iko hivi,
Kuna kijana hua anafanya kazi na me wangu sasa hua anatabia yakuja kila siku jion kula nyumban
Yeye kapanga nadhan mvivu kupika tumeshamzoea ni kama mwaka sasa na hatoi hata mia
Sasa mume wangu huaa anatoka saa 3 kazini, mimi hua natoka saa 2 usiku dukan
Kama wiki hivi, nimemleta mtoto wa dada angu anisaidie majukum ana 17yrs
Sasa huyu kijana alivyoona kuna mtu nyumban akawa anakuja nyumban saa 12 anakaa mpaka tunamkuta usiku,
Mimi nilichofanya nimemwambia asiwe anakuja kukiwa nawatoto peke yao maana yupo bint huyu na mtoto wangu wa 7yrs, awe anasubir mimi nirudi au awasiliane na rafiki yake waje nae sababu hapa kuna mtoto wakike dunia haieleweki hii
Kachukia kanishataki kwa jamaa, mume wangu kanuna et ninaroho mbaya sitaki huyu kaka aje kula
Wakati mimi nimemwambia awasiliane na rafiki yake ambae ni mme wangu waje pamoja maana wanafanya kazi pamoja et nimekosea?
Akizoea sana na kufanya uharibifu kwa huyo binti wa mika 17 au kwa mtoto wako wa miaa 7, huyo mume wako ataona wewe ndiye hukuwa mwangalifu (atakulaumu tu). Wewe umeshatoa msimamo wako, acha aendelee kulea tatizo peke yake.Sijui kosa langu lipi hapa iko hivi,
Kuna kijana hua anafanya kazi na me wangu sasa hua anatabia yakuja kila siku jion kula nyumban
Yeye kapanga nadhan mvivu kupika tumeshamzoea ni kama mwaka sasa na hatoi hata mia
Sasa mume wangu huaa anatoka saa 3 kazini, mimi hua natoka saa 2 usiku dukan
Kama wiki hivi, nimemleta mtoto wa dada angu anisaidie majukum ana 17yrs
Sasa huyu kijana alivyoona kuna mtu nyumban akawa anakuja nyumban saa 12 anakaa mpaka tunamkuta usiku,
Mimi nilichofanya nimemwambia asiwe anakuja kukiwa nawatoto peke yao maana yupo bint huyu na mtoto wangu wa 7yrs, awe anasubir mimi nirudi au awasiliane na rafiki yake waje nae sababu hapa kuna mtoto wakike dunia haieleweki hii
Kachukia kanishataki kwa jamaa, mume wangu kanuna et ninaroho mbaya sitaki huyu kaka aje kula
Wakati mimi nimemwambia awasiliane na rafiki yake ambae ni mme wangu waje pamoja maana wanafanya kazi pamoja et nimekosea?
Haha,huyo dogo anaroho ngumu sana aisee.Kiukweli angekataa sababu jamaa akisafir hua anakuja kunisubir dukan twende wote nyumban nikapike ale then aondoke, nikamwambia jamaa amwambie kua sio tabia nzuri mimi sio mke wake ni bora awe anakuja jamaa akiwepo ...alikuja juu safar hii nikajilipua
Hapo mumeo Hana akili kabisa ukitaka kumkomoa kabisa mwambie mumeo rafiki yako ananitongoza uone Kama ataendelea kuja hapoSijui kosa langu lipi hapa iko hivi,
Kuna kijana hua anafanya kazi na me wangu sasa hua anatabia yakuja kila siku jion kula nyumban
Yeye kapanga nadhan mvivu kupika tumeshamzoea ni kama mwaka sasa na hatoi hata mia
Sasa mume wangu huaa anatoka saa 3 kazini, mimi hua natoka saa 2 usiku dukan
Kama wiki hivi, nimemleta mtoto wa dada angu anisaidie majukum ana 17yrs
Sasa huyu kijana alivyoona kuna mtu nyumban akawa anakuja nyumban saa 12 anakaa mpaka tunamkuta usiku,
Mimi nilichofanya nimemwambia asiwe anakuja kukiwa nawatoto peke yao maana yupo bint huyu na mtoto wangu wa 7yrs, awe anasubir mimi nirudi au awasiliane na rafiki yake waje nae sababu hapa kuna mtoto wakike dunia haieleweki hii
Kachukia kanishataki kwa jamaa, mume wangu kanuna et ninaroho mbaya sitaki huyu kaka aje kula
Wakati mimi nimemwambia awasiliane na rafiki yake ambae ni mme wangu waje pamoja maana wanafanya kazi pamoja et nimekosea?
Mwambie anakutongoza uoneKiukweli angekataa sababu jamaa akisafir hua anakuja kunisubir dukan twende wote nyumban nikapike ale then aondoke, nikamwambia jamaa amwambie kua sio tabia nzuri mimi sio mke wake ni bora awe anakuja jamaa akiwepo ...alikuja juu safar hii nikajilipua
Nyie ndo mmelea hizo vitu, mtu anakulaje kwenu dailySijui kosa langu lipi hapa iko hivi,
Kuna kijana hua anafanya kazi na me wangu sasa hua anatabia yakuja kila siku jion kula nyumban. Yeye kapanga nadhan mvivu kupika tumeshamzoea ni kama mwaka sasa na hatoi hata mia, Sasa mume wangu huaa anatoka saa 3 kazini, mimi hua natoka saa 2 usiku dukan
Kama wiki hivi, nimemleta mtoto wa dada angu anisaidie majukum ana 17yrs.
Sasa huyu kijana alivyoona kuna mtu nyumban akawa anakuja nyumban saa 12 anakaa mpaka tunamkuta usiku. Mimi nilichofanya nimemwambia asiwe anakuja kukiwa na watoto peke yao maana yupo bint huyu na mtoto wangu wa 7yrs, awe anasubir mimi nirudi au awasiliane na rafiki yake waje nae sababu hapa kuna mtoto wakike dunia haieleweki hii.
Kachukia kanishataki kwa jamaa, mume wangu kanuna et ninaroho mbaya sitaki huyu kaka aje kula. Wakati mimi nimemwambia awasiliane na rafiki yake ambae ni mme wangu waje pamoja maana wanafanya kazi pamoja et nimekosea?
Hapo nimesimama kama mzazi/mlezi na sio mwanaune mwenye akili za nyegeπKwa hiyo na wewe unamtetea.
Hutaki bint apaliliwe?
Hapa ni kama huyu mama hana imani na wote 2 kwa huyu bint yaani kuna ka chembechembe ka wivu hivi[emoji28][emoji28]