mathias juliusjoram
Member
- May 2, 2015
- 20
- 8
God bless US.
tax holiday ni kwa wenye majihela? think big!Kwa kuwa wanahitaji hospitali, barabara, shule za bure kwa ajiri ya watoto wao pia...walipe tu hakuna jinsi sema iwe fair kidogo kwa kuzingatia vipato vyao.
Watu wanafikiri kuna mjomba wa kuwaletea maendeleo kwa kodi za watu wengine.Kwa kuwa wanahitaji hospitali, barabara, shule za bure kwa ajiri ya watoto wao pia...walipe tu hakuna jinsi sema iwe fair kidogo kwa kuzingatia vipato vyao.
Nafikiri mtoa mada amehoji uhalali wa kundi hili kulipa kodi na ndo tunajadili hapa....kama unataka tujadili uhalali wa Tax holidays anzisha mada tuzijadili na zenyewe...tax holiday ni kwa wenye majihela? think big!
serikali nyingi za nchi zinazoendelea low income earners huwa wanakuwa na encouragement ili wakuze mitaji hatimaye wawe emplpyers.Nafikiri mtoa mada amehoji uhalali wa kundi hili kulipa kodi na ndo tunajadili hapa....kama unataka tujadili uhalali wa Tax holidays anzisha mada tuzijadili na zenyewe...
Uko sahihi Mkuu! Tatizo la hapa kwetu ulipaji wa kodi hauendani na huduma, embu fikiri tumelipa kod mpaka tukajenga Nyumba zetu zaid ya 2000, cha ajabu anatokea mtu asiyekuwa na Uzalendo anaziuza nyumba zote, haitosh tunalipa kod mapesa yetu watu wanagawana ovyo ovyo, Juzi juzi tumenunua boti ya bagamyo -dar, kumbe bot ni mbovu watu wamepiga mabilion, aisee inatia uchungu sana na inatuvunja Moyo sana na hasa unapomuona kiongoz anaongea kwa uchungu, kumbe ni mwiz namb1Watu wanafikiri kuna mjomba wa kuwaletea maendeleo kwa kodi za watu wengine.
Nchi zilizo serious hata malaya wanalipa kodi ya serikali.
Halafu wanatuletea misaada kwa hela hiyo.
Tuwe srious!
Lipia kodi na avatar yakoMbona fresh tu