Elections 2010 Jamani Kamati za Ufundi Kulikoni....!

Nov 4, 2010
83
2
Hongera Dr Slaa kwa ukomavu wa siasa, ila nadhani kuna tatizo la washauri wako wa karibu. Hivi inawezekanaje mawakala wasaini form 24A (provincial declaration) halafu wakwambie kura za jimboni zimechakachuliwa? Hii inatukanganya sana, ila imewapa changamoto tume kuwa makini na data, in fact there are some errors we can tolarate but not recurring mistakes.
Thanks
 
mbona hueleweki na mada yako, jaribu kuisoma kabla hujapost na pia soma na mageziti kupata data kamili kuhusu maelezo ya Dr Slaa

hata Mwananchi limeeleza vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…