Jamani' Jamani Myface!!


Yaani wewe Zyamwelele huna maana hata kidogo na zaidi ya yote unaonekana uko kwenye Metamorphosis tena larva stage, hebu jitambue manake mda si mwingi nalikuwa napitiia uzi wako ulosema "Ukikosea hapa' wewe kwisha!!" kidogo tena nakutana na kitu hiyo hapo juu, afu shukuru leo kapita mtaa wako wenzio huku kwetu tumezoea wakina Myface kibao hadi tumewachoka, one day ntakukaribisha mitaa hii lakini kwa jinsi unavyoonekana ntakushauri uje ukiwa umevaa Tight-Jeans, kama ni wale wa suruali za vitambaa basi uje ukiwa hujachomekea..
 
Yah naelewe ulivyozimia moyo maana makazi ya wachaga hayo, anaedai hawana shepu inabidi aje hapo gengeni kwako ajionee
 
Maudhui ya uzi ni? aiseee.

ha.. ha.. ha!! si lazima kwamba kila unachokisoma hapa kikufunze' mda mwingine burudani tu!! na ukizingatia leo jpili watu, unaweka akili sawa kesho ukaanze vizuri!!!!
 
Mi nilijua umemwagiwa tindikali! Utaishia kula kwa macho tu!!
 
Mpendwa, Si ndo maana ujio wangu ulikuwa mwema? kwa kifupi tu:- MALAIKA ni viumbe vilvyo umbwa kwa nuru (mwangaza) na hadhi yao kwa MWENYEEZZI MUNGU ni juu zaidi, Pia ni viumbe vyenye huruma wa pole na wenye kumtumikia Mungu na kufuata Amri bila kuaasi. Toufauti na binadamu tumeumbwa udongo nasi ni wenye ukatili na maasi na kuvunja Amri za muumba, Wengine ni wanyama ambao ni katili waso kuwa na huruma.(mf. anweza kula mwanae wa kumzaa au kua bila hisia,nk). Na ibilisi (shetwani,jini) wameumbwa kwa moto !! Sasa sisi hatuwezi kulinganishwa na Malaika kabisa !! I hope utanipata. Ok, mkuu pamoja kuelimishana. nisalimie wifi....
 
Mi nilijua umemwagiwa tindikali! Utaishia kula kwa macho tu!!


unapenda mikasa ya watu kuumizwa eti ee? Mwenyezi Mungu atuepushie mbali na hayo maneno yako' yasikie tu hayo majambo usiombe yakukute mkuu.!!
 

Asante nimekupata mkuu'' wifiako alisafiri kidogo hivi anarudi kesho, nilikuwa nimemmisi balaa' ebu ifike hiyo kesho!! ndo maana nikaona nifurai kwakumsifia Myface!! amani sana mkuu!!
 
Asante nimekupata mkuu'' wifiako alisafiri kidogo hivi anarudi kesho, nilikuwa nimemmisi balaa' ebu ifike hiyo kesho!! ndo maana nikaona nifurai kwakumsifia Myface!! amani sana mkuu!!
Wakwetu sema in-ShaAllah ifikekesho , bila in-ShaAllah mambo hayaendi ! afu punguza urefu wa macho yako ! kwa vile unamMiss wifi balaa basi bora uelekeze mitazamo kwake,uelekeze nguvu zote kwake na Upendo uwekwake hapo utapa Raha ya dunia na mema ya akhera....au siyo?!! take care and Alamsiki. Heshima kwako daima.
 

nampenda saaana' yaani kwake sisikii wala siambiwi!! zingine hizo mbwembwe tu nakuita siku tukiwa na furaha'' amani ya bwana iwe na wewe sana!! usiku mwema!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…