Jamani' Jamani Myface!!

Zyamwelele

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
405
Reaction score
155
Myface wee' jaman jaman Myface!! Ndo vile kichwa cha mtu hakiwezi kuwa angavu kama gras, laiti kama ingekuwa hivyo ningeumbuka mie leo' jaman jaman Myface' paka mapigo yamoyo yanakimbia!! Kwasababu sijawahi kukutana na maraika lakin wengu hutoa sifa lukuki kwamba maraika ni wazuri kama kwel nihivyo basi Myface maraika alieshushwa''
Nisiwachoshe wadau nipo pande fulani za mbezi najitaftia liziki kwenye genge langu kaja mtoto mmoja kumuona tu usoni mm hoi'' basi nikajitahidi kumpa huduma kwa ufasaha ili mradi nimuone akitabasamu tu' kweli mtoto katabasam'' nataka kutupia stor nyingine ili aendelee kuwepo machoni mwangu lakin mtot amegeuka na kuanza kuondoka'' kutupia jicho kwanyuma mamayangu wee'' mtoto mtoto' mtoto mashallah' mtoto kama haendi chooni'' jaman jaman jamani Myface!! Myface kama utakuwa unasoma hii nyuzi' ombi langu kwako Myface nakuomba ni PM''. Kamwe siwezi kuacha kuishi mbezi kwahali hii' sio mbezi beach la' hasha! mbez ya kimara. Myface' Myface, jaman jaman Myface'' mrembo wee Myface!!!
 
Ivi uko ndo kule kwa wachagga??!
 
kama ulishndwa kumpata ukiwa nae(unapoweza kumgusa na kumsemesha) je, utaweza kumpata kwa hayo maandishi yako?
 
kama ulishndwa kumpata ukiwa nae(unapoweza kumgusa na kumsemesha) je, utaweza kumpata kwa hayo maandishi yako?

ha... ha.. ha..' mkuu sina haja yakumpata ila nimesifia uzuri wake'' kazi ya Mungu mkuu' au umesahau mwanamke pambo/ua?
 
Ndugu mpendwa, With respect, Tafadhali nakupa usia (wosia) usitumie maneno niliyo kozeshea/alama hapo juu, Katika kuhadithia shahawa na matamanio yako. Upewe msamaha kwakutojua yafuatayo:- huwezi linganisha Kulinganisha mwanamke na MALAIKA (hapo viumbe hivi kila mmoja ana sifa peke na mwengine) pili neno MaShaAllah halitumiki kiuFuska/asharati..
nakujuza na kwa wengine wapate kufahamu. Natanguliza shukrani na kila la wema kwako.
 

mkuu tafadhali usiwe mfedhuri' nakuheshim sana naomba ondoa neno 'ufuska' kwenye hoja yako''

unajua maana ya neno ufuska?

kwenye maada hapo juu ufuska upo wapi?

au umekunywa viroba hujitambui mzee?

kumsifia mtu ni ufuska?

kajipange weweee!!!
 
mkuu tafadhali usiwe mfedhuri' nakuheshim sana naomba ondoa neno 'ufuska' kwenye hoja yako''

unajua maana ya neno ufuska?

kwenye maada hapo juu ufuska upo wapi?

au umekunywa viroba hujitambui mzee?

kumsifia mtu ni ufuska?

kajipange weweee!!!
All righti ZyaMwelele jioni njema umesoma vizuri? ikiwa wote tunaheshimiana Ya nini kukurupuka na kupayuka juu yangu.. " FYI. mimi ninakufundisha na kukukosoa its up to you kukubali au ...uamuzi wako" neno fuska nakuvisha wewe mwemyewe ulipotumia lafdhi na kufurahia usemi wako huu:- mtot amegeuka na kuanza kuondoka'' kutupia jicho kwanyuma mamayangu wee'' mtoto mtoto' mtoto mashallah' mtoto kama haendi chooni'' jaman jaman jamani Myface!!
Sasa nikujuze zaidi Fuska yaweza kuwa MANENO au VITENDO au KUKASHIFU yakifuatiwa na TABIYA ambayo hupelekeza mtu kuwa FASIK !!
Usione vibaya au kupandisha hasira katika masahihisho kubali ya wenzio huo ni uungwana.
 



mkuu hachukii mtu hapa'' ukitoa marekebisho, yawe na mantiki!! alafu hapo ulichofanya nikubold tu' toa maelezo kivipo hayo maneno uliyoyabold yanageuka kuwa ufuska.
Pia my W' namuita malaika pia nakosea mkuu? nifahamishe nijue ili nikiri kukosea kwangu. usinitake nikir pasipo makosa mkuu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…