tetea tete
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 388
- 127
Ife tu maana haina faida zaidi ya hasara
kipi cha kuiua ccm ?viporo vyenu vya 10-15 mnavyopasha havipashiki?
Wameshikwa pabaya kunguru wa kijani kila kitu wanaibaWatatumia kila mbinu kuomba kura mpaka kugawa pipi kwa watoto!!!
Huyu alieanzisha thread ana hoja ipi? Ni kwa sababu ya kuenguliwa lowassa maana yy ndio anavyoona alikuwa ndio Nyerere wa ccm aonavyo?? Sijamuelewa kwa kweli alichokuwa anakitaka.
Hata mchawi huloga hadi 40 yake inapofika ndio hii ya ccm imewasaliti wananchi sasa watakatwa wao okttoba mwaka huuBaba wa Taifa aliwahi kusema kuwa mvunja nchi in mwananchi, nami nasema muuaji wa CCM ni mwanaCCM ukweli yametimia.
Ubinafsi , uroho wa madaraka na kubebana hata kama sifa huna ndio vilivyopelekea kifo cha CCM mwaka huu .
Wajumbe wa kwanza kuipeleka CCM kibra ni kamati ya maadili Na Usalama .
Wajumbe wa pili ni kamati kuu wao ndio waliohakikisha CCM inakufa mwaka huu kwa kukiuka kwa makusudi kanuni ili tu wampitishe wamtakaye na kuwaacha watu wenye sifa na uwezo wa kuongoza.
Hatushangai ila malipo yake in hapa duniani kwa CCM kufa.
Zidumu fikra za mwenyekiti.
kipi cha kuiua ccm ?viporo vyenu vya 10-15 mnavyopasha havipashiki?