Huyu mzee alikuwa ni mmoja kati ya wapiga debe mahususi waliowekwa na mwendazake kumpigia debe ili angeongezewa muda wa mitano tena!!! Akapigwa knock out mapema hata kabla ya mwendazake kuondoka!!! Sasa anafanya biashara ya kuuza kambale huko Rukwa!!!