Hiyo walasio bongo,labda kiwe ni chuo tena vya kisasa,hakuna shule ya secondari bongo hii ina sakafu yenye tiles na mwalimu aliechomekea na kuwa smart kama huyo.
Hiyo walasio bongo,labda kiwe ni chuo tena vya kisasa,hakuna shule ya secondari bongo hii ina sakafu yenye tiles na mwalimu aliechomekea na kuwa smart kama huyo.
heheheheee hahahahahahaaa aaaah!!!
Jamani mmenikumbusha mbali sana wakati niko chuo tulikuwa na mwalimu moja hv alikuwa anatokea ofcn kuja kutufundisha alikuwa anavaa suruali za kubana na alikuwa anaanza kuandika from mwanzo wa ubao hadi chini so akifika chini hilo pose lilikuwa linahusika. Sasa mambo ya wanafunzi bana hata kama watuwazima akili zinakuwa na matope tuu, kuna mtundu mmoja darasani akaandika kikaratasi na kusema pata picha suruale ya mwalimu ikichanika lol hatukusoma tena tulicheka ile mbaya hadi kipindi kinaisha lol!!