watanzania tunakoelekea sio kuzuri,juzi niliomba kazi kwenye ampuni ya wa Swedish cha kushangaza nikatumiwa messege na mtu nisie mfahamu tena akataja jina la ile kampuni niliyo omba kazi,akanza kwa kujitambulisha mimi nipo kwenye mkutano tupo kwenye mchakato wa kupitia cv zenu lakini wewe unauwezekano wa kuchaguliwa cha kufanya mshahara ni million 1 moja,akaanza kutaja masharti kwamba nitakapo anza kazi kwa mwenzi ule wa kwanza nitampa laki tatu.cha kushangaza ananiambia ni mtumie elfu arubaini kwanza ili afnye mchakato wakati hata sijapata simu ya kwenda kwenye interview............jamani waogopeni hawa ni matapeli hawa nikama hackers wana hack website za kampuni