Jamani hii ni wapi afrika?

Mwakani tu itakuwa bongo kama tutaendelea kutishana kung'oana mapembe....
 
Eeh! Hiyo ndio safi ''mobile court'' mtu akikuzingua mnamaliza hapo hapo,mpango wa sijui kisutu,sijui nini ni kupotezeana muda.
 
si hapo jirani tuu na weweee hakuna sehemu nyingine hapa duniani zaidi ya hapo hata kwa sura tuu utawatambua
 
Duuuh!! balaa!! niliwahi sikia miaka ya nyuma kuwa Congo magenerali huwa wana saloons huko huko maporini,.. now I believe,that lady in second picture kasukilia nywele nyekundu, in the middle of civil war the lady has her game up and hair done!!, sitashangaa akiletwa mwingine ana rangi za kucha na make up kabisa,...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…