Jamani mimi nimekumbana na mengi lakini hili naomba ni share na wewe mwana jamii mwenzanagu!!Najua wote wake kwa waume kunakitu kitufanyacho tufurahi na sikingine!!ze needful is something else!!au??Sasa basi naomba nikuulize baada ya mahitaji je wewe ulishakutana na mizuka gani??maana kila mmoja Mume kwa mke amalizapo ule mshindo anamzuka wake wengine hurukarukakitandani wengine mayowe kwakweli mchanga nyiko wengine utacheka maana utazani anafanya makusudi kumbe ndivyo alivyo maana mara yakwanza waweza sema nimatani lakini sikuzinavyosogea ndiyo staili yake!!je wewe umeona mizuka mingapi na ya aina ipi weka hapa burudani!!mimi nmwenyewe nimeona mtu kaamka kitandani anatembea chumba kizima nikashangaa amepandwa namashetani??baada yakupoaaa!! nikamwuliza aksema we achatu ninakuwa najisikia raha ajabu!!Jibu langu nimetoa usiniulize nasubiri kwako!!:A S 465::wink2:
Kutoa hewa chafu yaani kujamb*
mmmmmmh!hapo lazima tIGO kwa namna fulani ilitumika, na sasa ikaona irelax!!!
Uwiiii, samahani nimeingia choo cha kike
Mhhhh.....! Ever you proved this?mmmmmmh!hapo lazima tIGO kwa namna fulani ilitumika, na sasa ikaona irelax!!!
Huko ni wapi mkuu? Tafadhali, umeniacha....!Uwiiii, samahani nimeingia choo cha kike
Hata ukiiba utaimba hivi? Sipati picha kama umeshiriki cha chap-chap.....!hahahahha!hahah! minkimaliza naanza kuimba haleluya....haleluya............!!!!!!
Duh...! Kuishi na huyu ni raha sana, maana hawezi kuiba, na akifanya hivyo lazima ijulikane....!kuna mdada mmoja akikojoa anazimia kabisa mpaka hospitali ndio anaenda kuzinduka tena kwa dripu nilikutana nae Upanga
ndo manake naimba ivo ivo km nipo kwa kakobe vle.......haleluya za hatari .....haleeeeeeeeeeeeeeeluyaaaaaaa haleluuyaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaleluuuuuuuya......sauti zote apo toka ya 1 mpk ya 41 zinatumika!!!!!!!!!!!!!Mhhhh.....! Ever you proved this?
Huko ni wapi mkuu? Tafadhali, umeniacha....!
Hata ukiiba utaimba hivi? Sipati picha kama umeshiriki cha chap-chap.....!
kuna mdada mmoja akikojoa anazimia kabisa mpaka hospitali ndio anaenda kuzinduka tena kwa dripu nilikutana nae Upanga
ulijuaje kakakiiza?Lazima umtukuze aliyekutengenezea hiyo tool!!
Jamani mimi nimekumbana na mengi lakini hili naomba ni share na wewe mwana jamii mwenzanagu!!Najua wote wake kwa waume kunakitu kitufanyacho tufurahi na sikingine!!ze needful is something else!!au??Sasa basi naomba nikuulize baada ya mahitaji je wewe ulishakutana na mizuka gani??maana kila mmoja Mume kwa mke amalizapo ule mshindo anamzuka wake wengine hurukarukakitandani wengine mayowe kwakweli mchanga nyiko wengine utacheka maana utazani anafanya makusudi kumbe ndivyo alivyo maana mara yakwanza waweza sema nimatani lakini sikuzinavyosogea ndiyo staili yake!!je wewe umeona mizuka mingapi na ya aina ipi weka hapa burudani!!mimi nmwenyewe nimeona mtu kaamka kitandani anatembea chumba kizima nikashangaa amepandwa namashetani??baada yakupoaaa!! nikamwuliza aksema we achatu ninakuwa najisikia raha ajabu!!Jibu langu nimetoa usiniulize nasubiri kwako!!:A S 465::wink2:
Wee hujatulia kabisa, unahitaji kupepewa na kupewa kitchen party au beg party. Mambo ya chumbani huishia chumbani.
tatizo inatakiwa na wewe upate kozi ya first aid au uwe unaenda kuchinjia kobe wodini ili mkimaliza tu dokta anamuwekea dripu azindukeDuh...! Kuishi na huyu ni raha sana, maana hawezi kuiba, na akifanya hivyo lazima ijulikane....!