Jamani hii imekaaje wadau?

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,393
Reaction score
1,462
Unakuta mke wa jamaa mkali kishenzi ila jamaa anapiga mechi za njee na vidada visivyoeleweka mbele au nyuma ni wapi?

Kwa upande mwingine unakuta mkee wa mtu anahudumiwa kila kitu ila akipata nafasi tu analiwa na kijana msela tu wa mtaa.

Hivi haya mapenzi kweli yana formula? Au ndo anguko tu la binadamu?
 
Hayana formula na pia ni anguko brother.
 
Adam alipoulizwa na Mungu kwa nini amekula tunda lililokatazwa, akamnyooshea kidole mwanamke. Mwanamke nae akamnyooshea kidole nyoka. Naamini na nyoka nae angeulizwa angemnyooshea kidole mwingine. Ni kwamba wengi wetu hatujui tuna taka nini.
 
Nafkir kutakua na changamoto ya kutotoshelezwa au tamaa binafsi ya mtu.
 
 

Attachments

  • FB_IMG_1492286251619.jpg
    49.2 KB · Views: 38
Hayana formular!!! Ni somo lisilo na syllabus...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…